Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Wakuu nipo dar kikazi
nimefika maeneo ya stendi ya mkoa,OLCOM na maeneo ya mitaa hiyo muda huu kuna kumbi kumbi wengi sana
kumbuka kumbi kum bi hawa hunaswa kwa mitegoi maalum na ni mboga safi sana na maarufu kule Kagera.
Lakini cha ajabu pale Olcom hasa kwenye ATM za CRDB,NMB wapo kibao kwa mana kuwa mtu anaweza kukusanya madiaba na madiaba.
Licha ya kwamba shida yangu ilikuwa ni pesa kwenye moja ya ATM hizo lakini nashanga watu wanaolalamika kuwa siku hizi hakuna kazi wakati UKUSANYAJI WA hao kumbukumbi ni Mradi tosha kabisa
Hivi hapa Ubungo hakuna wenyeji wa mkoa huo,changamkia dili hili jamani
mimi mate yananidonbdoka kuona kitoweo hiki kinakanyagwa na magari jamaniiiiii
Cha ajabu nimeona jamaa mmmoja akisema eti hawa wadududu kero
kero dar,bukoba neema