Kumbe Zanzibar inapata 4.5% ya mgao toka Tanzania Bara

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wakuu nimesikia mara kwa mara kwamba Wazanzibari wakilalamika kwamba mgao wa 4.5% ya misaada ipatayo Tanzania haijawahi kufikishwa Zanzibar, lakini kumbe mgao huo umeanza kuwasilishwa tangu mwaka 2001!
Source: Kutoka Bungeni Live wakati huu!
My take: Sijajua kwa nini Wazanzibari hulalamika kwa mambo ambayo hawastahili kulalamika! Huku kulalamika inonekana ni profession sasa!
 
Kuusu muungano wewe ngoja tu. Nakuambia wata tz wata amua cku ya katiba mpya
 
Wakuu nimesikia mara kwa mara kwamba Wazanzibari wakilalamika kwamba mgao wa 4.5% ya misaada ipatayo Tanzania haijawahi kufikishwa Zanzibar, lakini kumbe mgao huo umeanza kuwasilishwa tangu mwaka 2001!
Source: Kutoka Bungeni Live wakati huu!
My take: Sijajua kwa nini Wazanzibari hulalamika kwa mambo ambayo hawastahili kulalamika! Huku kulalamika inonekana ni profession sasa![/QUOTE]

inawezekana hapo kwenye red ni moja ya nguzo kuu 5 za mzanzibari. simaanishi hivyo utakavyomaanisha. hahahahahaha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom