Kumbe "WEMA" na Aunty Ezekiel wamejifunzia hapa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
536451_453685078017744_400226570_n.jpg
 

Nataka kuiongoza nchi hii kuhakikisha kwamba mambo haya hayatokei. Haya ni maasi kwa Mwenyezi Mungu. Halafu bado tunathubutu kuwateka nyara viongozi wa dini,akina Sheikh Ponda wakati mambo kama haya yanatokea.Sheria za Mweneyzi Mungu lazima zifuatwe. Mwenyezi Mungu ndiye kiongozi wa wanadamu wote na tunapaswa kuzifuata sheria zake ambazo zipo katika Msahafu.
 
Biashara matangazo lakini tangazo hili lina doa jekundu wanalokataa Yanga
 
dunia ina mambooooooo,ingia kwenye mitaa majambo yamejaa duniaa ina mambooooooooo.masaburi jamani masaburi mboni wenye tamaa tutakoma.
 
duuuuuuuhhhhhh!!!!!!!!!!!!! asee hiyo hapo ni kazi kweli kweli..! jaribu ku emagine hapo unapita na mwanao utamziba machooo....!!!!? utamgeuzaaa asioneee..!!? au utafanyaje..! hizi tabia hazimomonyoki siku hizi..! zina meguka..!
 
Back
Top Bottom