Kumbe (waziri mkuu wa wingereza) David Cameroon shoga!

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Wingereza wanachekesha sana.

Tanzania tuliwafukuza waingereza na 2kajipatia uhuru mwaka 1961.
Sasa leo hii 2nasherekea miaka 50 ya uhuru na kauli ya waziri mkuu wa wingereza kwamba nchi zilizo wah kutawaliwa na Mwingereza zikubali sheria ya ndoa ya jinsia moja lasivyo itazinyimwa misahada na Tanzania ikiwemo.

Sasa watz tuchague moja kukosa misahada ya waingereza au kualalisha ushoga?
 
Wingereza wanachekesha sana. Tanzania tuliwafukuza waingereza na 2kajipatia uhuru mwaka 1961, sasa leo hii 2nasherekea miaka 50 ya uhuru na kauli ya waziri mkuu wa wingereza kwamba nchi ziliza wah kutawaliwa na na mwingereza zikubali sheria ya ndoa ya jinsia moja lasivyo itazinyima misahada na Tanzania ikiwemo. Sasa watz tuchague moja kukosa misahada ya waingereza au kualalisha ushoga?

Hiyo staili ulioandika hutumika kwenye sms na hairuhusiwi hapa JF. Rekebisha.
 
habari zako zimekaa kiudaku kama vp nenda kwenye jukwaa la udaku na jokes maana heading iko tofauti na ulichoandika
 
Cameroon akafie mbali na hela zake za kishoga....laana inakaribia kuiangamiza dunia,.... hadi wanataka kuungwa mkono katika uovu kisa tu wana hela , lakini kwa serikali yetu hii legelege sio ajabu ukisikia wakijilegezea kwa Cameroon ili mradi tu wapate senti. Kama hizo pesa za mashoga kuoana Tz, afadhali kufa kwa umaskini na utu wetu.
 
Hiyo staili ulioandika hutumika kwenye sms na hairuhusiwi hapa JF. Rekebisha.
Nimefurahi kukuona tena Aunt Faiza F, baada ya kutokuona muda mrefu. Napenda hoja zako zenye harufu ya udini udini japo mara nyingi siziungi mkono, ila nakuaminia kwa msimamo. Kuhusu staili ya Kaleju unajuaje kama hatumii simu? Ila nimeku"like".
 
heading yako na content haviendani-ibadili
tanzania hatuna jinsi-tutakubaliana nao tu kama tulivyokubaliana nao mambo yao mengine
 
Vizuri sana! acha wawanyime misaada, kwani hata mkipewa wanaonufaika ni mifisadi..BIG UP Cameron kwa kuwatia adabu hawa viongozi mafisadi wa kiafrika.
 
mtakuwa yegemezi mpaka lini? Ngoja mtie adabu kwanza, kwa sababu hata hiyo misaada inayopewa inaishia kwenye matumbo yenu na kununua ma VX wakati vijijini watu hawana maji,dawa,barabara na miundombinu vyote ni ovyo....
Haina haja ya kupewa misaada.
 
bora tukose kwani hata tukipewa inaishia mikononi mwa wachache
juzi gazeti moja na Norway limeandika hela wanazotoa tanzania kufadhili miradi ya kiuchumi
imetumika vibaya ikiwemo rushwa na miradi isio na tija nao wanadiscuss kufuta misaada kwa tanzania
itakuwa safi sana ili tuwe na akili ya kutumia rasilimali zetu wenyewe kuinua uchumi kuliko kutegema misaada.
 
Mimi nadhani Tanzania haikustahili kuwa nchi ya kupewa misaada kwa rasilimali nyingi tulizonazo ( mfano mbuga za wanyama, mlima kilimanjaro, maziwa (victoria, nyasa, tanganyika n.k), bahari, bandari, madini ya kila aina na yenye thamani kubwa duniani, na vingine vingi tu) ambazo zingetumiwa vizuri nauhakika watanzania wangekuwa na maisha mazuri kuliko nchi yeyote afrika.
 
Hiyo staili ulioandika hutumika kwenye sms na hairuhusiwi hapa JF. Rekebisha.
... Kuhusu staili ya Kaleju unajuaje kama hatumii simu?...
FF hajasema "hutumika kwenye simu" ila amesema "hutumika kwenye sms". It should be noted that hizi post za humu JF sio sms, hata kama zitakuwa posted kwa kutumia simu !!
 
huoni kama ametumia mobile!?
Mobile phone zinatumika kutuma calls, SMS, MMS na hata kubrowse internet. Kutumia simu is not necessarily kutuma SMS. Unaweza kutumia simu kufikisha ujumbe via internet, sio via SMS, kama zilivyo post kadhaa za humu JF. Kwa hiyo hata huyo aliyetumia mobile, hajasend sms, ila amebrowse internet !
 
Cameron **** tu...,aendeleze ujinga huo kwenye nchi yake . laiti tungekuwa na kiongozi ambaye angesema No machoni pake ingekuwa safi sana, abaki na paundi zake , halafu kampuni zao ziondoke huku Africa tukianzia .
 
Wingereza wanachekesha sana.

Tanzania tuliwafukuza waingereza na 2kajipatia uhuru mwaka 1961.
Sasa leo hii 2nasherekea miaka 50 ya uhuru na kauli ya waziri mkuu wa wingereza kwamba nchi zilizo wah kutawaliwa na Mwingereza zikubali sheria ya ndoa ya jinsia moja lasivyo itazinyimwa misahada na Tanzania ikiwemo.

Sasa watz tuchague moja kukosa misahada ya waingereza au kualalisha ushoga?

Zanzibar kuna mashoga wa kumwaga, mbona hawawa mwagii misaada.? SAY NO TO GAY MARRIAGE.
 
I wonder kama hili ndio wazo pekee ambalo 'Kameruni' anaweza kutupatia at this point.........

mix with yours
 
Back
Top Bottom