Kumbe waziri mkuu wa Wingereza alikuwa anapiga mkwara Tanzania

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Daa mmesikia kutoka kwa Membe Mzee wa Kaya alikuwa analetewa balozi amkaribishe sasa akaona mume na mume sijui ni mume na mke lakini wote ni mashoga akasema "toba yarabi" nakuto wakubali mpaka akabadilishiwa wengine. Kweli mtihani ulikuwa mgumu.....
 
Na huyo mama alioletwa nasikia hana mume, sasa hapo ndio ukisikia kuruka mkojo kukanyaga mavi. Wazungu wahuni.
 
wale watu wameendelea kifikra, kiutamaduni, kisayansi na kiuchumi na cha kusikitisha ni kuwa mfumo wetu wa maisha tumeshajiaminisha kuwa kuendelea ni kuwa kama wao!
Endapo nasi tukiweza (miaka 3000 ijayo???) kupata hayo maendeleo 'tunayokusudia', basi hata kiutamaduni twaweza kufikia hapo. Maana sijaona 'mswahili' yeyote anaye practice tamaduni za Kiafrika mbali na kuiga uislamu, ukiristu nk!
Na huyo mama alioletwa nasikia hana mume, sasa hapo ndio ukisikia kuruka mkojo kukanyaga mavi. Wazungu wahuni.
 
wanadhan watz ni mapunguwani kumbe zimo shenzi zao kabisaa wasituletee ushetan wao
 
Na huyo mama alioletwa nasikia hana mume, sasa hapo ndio ukisikia kuruka mkojo kukanyaga mavi. Wazungu wahuni.

Kutokuwa na Mume au kutokuwa na mke siyo tatizo maana hali ya kutokuoa au kuolewa ni tofauti na yele ambaue inajulikana kabisa kwamba ni shoga (wa kiume au wa kike).

Muhimu ni kujua marital status yake kama inakubalika katika jamii husika. Naamini hata Tanzania tuna viongozi ambao hawajaoa wala kuolewa, na haijawa tatizo.
 
Mbona ushenzi upo na unafanyika. Nimekutana na mzee mmoja leo pale NbC tawi la Ubungo, akasema yeye alifika hapa Dar es salaam mwaka 1959 na ushenzi huo ulikuwepo.

Akaongeza kwamba sio kwamba ushenzi wanaoutaka wazungu haupo hapa kwetu, ni kwamba haujahalalishwa (hautambuliki kisheria na wataka uwepo kisheria kama zilivyo ndoa zingine) na wakoloni ndo walouacha walikuwa wakifanya tangu awali.
 
duuuh! upo kwetu tangu zamani!!!!!
ulimuuliza ni wapi ambapo huo us***zi upo katika geografia ya nchi hii???
Mbona ushenzi upo na unafanyika. Nimekutana na mzee mmoja leo pale NbC tawi la Ubungo, akasema yeye alifika hapa Dar es salaam mwaka 1959 na ushenzi huo ulikuwepo.

Akaongeza kwamba sio kwamba ushenzi wanaoutaka wazungu haupo hapa kwetu, ni kwamba haujahalalishwa (hautambuliki kisheria na wataka uwepo kisheria kama zilivyo ndoa zingine) na wakoloni ndo walouacha walikuwa wakifanya tangu awali.
 
Mbona ushenzi upo na unafanyika. Nimekutana na mzee mmoja leo pale NbC tawi la Ubungo, akasema yeye alifika hapa Dar es salaam mwaka 1959 na ushenzi huo ulikuwepo.

Akaongeza kwamba sio kwamba ushenzi wanaoutaka wazungu haupo hapa kwetu, ni kwamba haujahalalishwa (hautambuliki kisheria na wataka uwepo kisheria kama zilivyo ndoa zingine) na wakoloni ndo walouacha walikuwa wakifanya tangu awali.

Wewe unataka kusema huo ushenzi uwepo katika ardhi ya nchi hii?
 
Nkimaliza kubishana juu ya huu upuuzi mtasikia magamba wameisha chota mabilioni mengine. Mtaanza ubishi mwingine... Maisha yanaendelea....
 
Back
Top Bottom