Kumbe Wanyama Pia Wanaadabu?

Hembu muone alivyokaa kwa adabu?
attachment.php
 
lol. nimeipenda iyo!

Ila wanyama wanafundishwa na kuelewa kama sie binadamu
 
chezea nyama wewe?

huoni akina ritz,rejao,na akina jeykey walivyo na adabu? wamewekewa nyama mbele.:lol:
 
Back
Top Bottom