kumbe wale viumbe wanapiga kazi 24hrs. yaani usiku na mchana..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Wakuu, wale viumbe wanaojiuza sasa hivi wanafanya kazi usiku na mchana. wenyewe wamepanga vyumba kabisa. na wamejiwekea sheria ya kutokugombania wateja, wewe ukifika pale unakuta wamekaa mlangoni na mavazi ya kimtego, kwa hiyo anayekuvutia ndio unaingia chumbani kwake.

Leo nmepita maeneo yale jioni hii, ni kweli wale watoto wazuri asikudanganye mtu.ukimuona huwezi amini ka anajiuza. Kila figure unayotaka ipo ni hela yako tu. hadi nikajiuliza kwanini watoto wazuri wanafanya hii biashara? Mia
 
ni wapi huko? sounds like uwanja wa fisi! kama ni uwanja wa fisi kweli kule haijaisha hiyo hali ya 24 hrs service, sijaskia sehemu nyengine
 
wameshazoea kila style mpaka ya kuruka kichurachura kwa ndoa utawaweza?
 
Kumbe na wewe ni Mteja mzuri? ulijuaje kuwa wamejiwekea Sheria ya kutokugombea wateja kama sio mnunuaji? au ni pimp

Hekima ni Busara, Kuwa na Busara
 
ni wapi huko? sounds like uwanja wa fisi! kama ni uwanja wa fisi kweli kule haijaisha hiyo hali ya 24 hrs service, sijaskia sehemu nyengine

Mkuu ni pale sudan street nyuma ya nmb wenyewe wanapaita kwa wahaya lakini ukifika pale wahaya hawapo kabisa.

kuliko kuendelea kusumbuana na hawa wakina ntumie vocha mala sijui hela ya luku. demu unamuhudumia halafu na yeye unakuta ni kicheche vilevile. bola kukaa bila demu, mzux ukipanda unaenda kuosha rungu maisha yanaendelea. Mia
 
Kumbe na wewe ni Mteja mzuri? ulijuaje kuwa wamejiwekea Sheria ya kutokugombea wateja kama sio mnunuaji? au ni pimp





Hekima ni Busara, PAW



mkuu unafikili ni siri? haya mambo yapo wazi yanaeleweka. Mimi naona wanasaidia sana sababu hawa wa mtaani wanasumbua sana wakati wote tabia ni ile ile. hawa wanakupiga mzinga kisiri wale unaelewana nao kiroho nzuri. Mia
 
Du ukione hvyo nasi demand imekua kubwa kuliko supply so inabid wakeshe kama popo kukidhi haja ya wateja wao...Elfu
 
Mkuu ni pale sudan street nyuma ya nmb wenyewe wanapaita kwa wahaya lakini ukifika pale wahaya hawapo kabisa. kuliko kuendelea kusumbuana na hawa wakina ntumie vocha mala sijui hela ya luku. demu unamuhudumia halafu na yeye unakuta ni kicheche vilevile. bola kukaa bila demu, mzux ukipanda unaenda kuosha rungu maisha yanaendelea. Mia

buguruniiiiii..! uongo....! eeeh unaosha rungu na wewe unaoshwa na ukimwi bomba tu mia hata mimi nasupport
 
Back
Top Bottom