Kumbe wako wengi, nilidhani ni tanzania tuu

Mtangulie wenyewe kama mnapenda. Wengine bado tuna mengi ya kufanya likiwemo kumkomboa mtz kutoka ulevi wa kijani (ccm). Mission not fullfiled.
 
Hakuna ajuaye siku wala saa ya mwisho wa dunia. Siku hiyo itakuja kama mwivi ajavyo (Haya ni maneno ya BWANA YESU mwenyewe). Kwahiyo msidanganywe na hawa maajenti wa shetani.
 
Hakuna ajuaye siku wala saa ya mwisho wa dunia. Siku hiyo itakuja kama mwivi ajavyo (Haya ni maneno ya BWANA YESU mwenyewe). Kwahiyo msidanganywe na hawa maajenti wa shetani.

Nakukubali! Kwani watu hawajui kama haya yalitabiriwa? Sasa wanahangikia nini? Utawajua tu watu wasiojua maandiko, na haya yote yanakuja kwa ajili yao wahangaike, ili wajaribu kuutafuta ukweli. Utakuta mtu kakaa miaka 10 kanisani hajui neno mstari hata mmoja, yakitokea haya ndiye wa kwanza kubabaika! Jamani haya yote yameandikwa kwenye Biblia na majibu yake yapo hapohapo wazi kabisa. Labda kama aliyeipost hii siyo Christian, tutamwelewa na kumwelewesha zaidi. Namshauri aendelee kuchapa kazi, kwani yeye alitegemea udanganyifu utokee Tz peke yake? Neno haliwezi kutimia kwa WaTanzania pekee
 
Back
Top Bottom