kumbe wakati wa kusalimiana hairuhusiwi kusimama

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
11.jpg

Mia
 
Mufti Mkuu ni mgonjwa;maradhi yamemsonga lakini inshaalah Mwenyezi Mungu atampa nguvu ya kuendelea kuwatumikia Waislam kwa uaminifu kama atakavyo yeye.

BTW Mufti huwa anaweza kuachia wadhifa wake kwa sababu yoyote ile? Au naye kama Pope Benedicto hadi afe akiwa madarakani?
 
Dah mkuu umeuwa, angalia yule jamaa mfupi aliyeko nyuma ya mufti anaoneka ana usongo na bweche jamani hawa watu kwa wali sijui walilogezewa

'' hawatakubali mayahudina manasara mpaka muwafuate nyayo zao au mila zao''
 
Back
Top Bottom