kumbe wahindi nao wanatutamani

Ukiona mwanamke anamaendeleo,,we jua tu kuna mtu anamwezesha, sio mshahara pekee.

Hapo mkitukuta barabarani tunachapa mwendo kwa miguu mnatuona mafalaa,,kumbe nyie hamgusi mishahara yenu.
 
thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia
Ukiwa na mshiko tu nao wanagawa kwa kila rika!!!
 
sidhani kama kuna tatizo kutoka na watu wenye asili ya India unless unaji-stereotype!! ndege mjanja hunasa kwenye tundu... nabashiri kuna mmoja hasa huyu wa sasa ata-hit the target......cha msingi hiyo motive ya kuchukua pesa na kukimbia inabidi uiondoe...cause it makes someone think you are doing that as a business (who.r.e)???? plz dnt take it personal I don't mean to be offensive....
 
Umeisha lala na manaume wangapi tangia uzaliwe? Mbona hao waliokupitia hutuambii! Kwa tadhimini yangu ya haraka haraka inaonekana unapenda sana ngono.
 
SMILE ;-) Yawezekana Umbo lako liinachangia (Mtaani tunasema) UMEANGUKA BAFUNI yaani SHAPELESS si unajua Wahindi wengi walivyo???
 
Back
Top Bottom