kumbe wahindi nao wanatutamani

Dah..una ngekewa na wahindi wewe, but why only indians?
iko siku utaingia kwenye 18 za mhindi hutaweza kuchomoka, wewe jisifie kwamba ni mjanja wa kula dola za wahindi na kusepa....ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu
 
Muindi wa tatu
Huyu tulikutana bankile ya wahindi hope mnaijua

wamaanisha Baroda bank?..............................lakini kumbuka hakuna free lunch.........................kuna siku utalipa kwa mtu mwingine.........................pale atakapo kukopa na ukakopesheka tena kilaini khalafu akaingia mtaani.......
 
Mimi nakwambia wale pesa yao, si wamezitoa kwa mapendekezo yao wenyewe. Hiyo ni dawa ya wanaopenda kucheat halafu sepa kama kawa, hawa huwa wanataka uroda tu they're not for commitment or longterm relationship.

long commtiment inatoka wapi na wao wana wake zao.....................au she ought to be looking for a second place..............
 
Yaelekea dada yangu mvuto wako upo kwa wahindi kwa kuwa sijasikia ukiwazungumzia watu weingine zaidi ya wahindi.
 
jamani yuko wapi smile aje ajibu shutuma hapa ............
Kemcho bai toghocho,hani smile iko mimi bishangasingh chukua ,iko mimi na yeye toto smile furahi sana,mimi iko chukua yeye hamia purshotam gujarat,veve tog sema nini sasa,nyie golo pana honga,singh hongha,nee? Bebi smile kuja sogea mimi nunulia veve shea kampuni TATA,chikia veve toto juri?
 
jamani yuko wapi smile aje ajibu shutuma hapa ............

"Wana jamii forums wenzangu mbona mwauliza smile yuko wapi,wakati wengi wenu mmempa maneno makali?hamjaona post no 48? Nimetulia na Smile,tupo tuna smile na kupeana maneno mawili matatu...atajibu hoja zenu baadaye,tunaweka misingi kwanza!!
 
Kemcho bai toghocho,hani smile iko mimi bishangasingh chukua ,iko mimi na yeye toto smile furahi sana,mimi iko chukua yeye hamia purshotam gujarat,veve tog sema nini sasa,nyie golo pana honga,singh hongha,nee? Bebi smile kuja sogea mimi nunulia veve shea kampuni TATA,chikia veve toto juri?
sema kweli nimecheka sana kwenye hii post, dah!!u made ma day mkuu bishangasingh a.k.a virusahastabuthe
 
we ni tapeli.
maana ka si tapeli usingekua unapokea na kutokomea.
labda ungezikataa au ungezipokea na kuwapa watakacho.
 
umetupiga kamba ulivyokuwa unashift from one employment to another si rahisi sana kwa tanzania hii mara nyingi wadada mkiajiliwa mnakuwa miss ndio kila kitu kuogopa kuwa fired.
 
we zoea kula vya watu halafu unasepa,wengine vyao haviliwagi rafiki,shauri yako,kama ulikuwa huwapendi mbona hela zao ulichukua,au wewe ni degee, manake midegte ndo staili zao hzo
 
Kupendwa nao haina maana kwamba utaolewa na Mhindi, inaonekana wanataka kupata tu uroda kutoka kwako hao sio waoaji. Inategemea muonekano wako na unavyojilengesha, kujilegeza na kuwarembulia macho na kukubali wanayokuambia na mawasiliano yako nao ya kimahaba. Umetuonyesha jinsi unavyokula vitu vyao na kusepa, sio vizuri kufanya hivyo kama hutaki usikubali kuchukua hela zao, zitakuja kukutokea puani siku moja chunga sana. Wahindi ni waoga sana kwenye maswala ya kutongoza mara nyingi wanawake wa kiswahili ndio wanajitongozesha kwao kwa kutaka pesa au kuunganishiwa na wanaume wa kiswahili, nawajua nina marafiki wengi sana wa kihindi na nimeshawahi kuwaunganishia sana mademu wa kiswahili na kunilipa pesa kibao.
Ovyoo!! mwanaume mzima huoni aibu kujitapa ukuwadi? Kwani mwenyewe huna zana au.........?

 
Kemcho bai toghocho,hani smile iko mimi bishangasingh chukua ,iko mimi na yeye toto smile furahi sana,mimi iko chukua yeye hamia purshotam gujarat,veve tog sema nini sasa,nyie golo pana honga,singh hongha,nee? Bebi smile kuja sogea mimi nunulia veve shea kampuni TATA,chikia veve toto juri?

Unafaa sana kwa usanii. Una kipaji!
 
tuliza hiyo nyet ww mbona unaweweseka it cmc that unapenda kuduu sema hapa unaonekana unahitaji experience ya wahindi kwa wenzio waliowahi duu na wahindi, dem t
 
Muindi wa kwanza
Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa
Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu
Saa moja keshanifata nyumbani
Nilihisi dalili chafu cause kampuni ilikuwa kubwa kabisa (kampuni ya ujenzi) madereva ni wengi sijui kwa nini alikuwaananifata mwenyewe one day akatangaza nia nikamwambia nitampa jibu bazazi yule
One day kuna barabara tulijenga ilikuwa ni kuikabidhi nje ya mkoa.eti akaniambie twende wote
Nikamuambia sijajiandaa
Akanipa hela ya safari cause alinipa bila utaratibu na ilikuwa hela nyingi nikasepa zangu kwanza mateso ya paleyalishanichosha

Muindi wa pili
Nilikuwa nafanya kazikampuni ya madini huyu alikuwa ni mmoja wa wakurugenzi
Nilikuwa naishikwenye nyumba ya kampuni kwa iyo akaona ili mahusiano yetu yawe sirinihame pale maana ingekuwa soo kwa wahindi wenzake maana hata mashemejizake walikuwepo
Akanipa hela ya kupangisha nyumba kodi ya mwaka mzima nay a kununuakitanda na godoro na vitu vingine vidogodogo kiukweli alinipa hela ya nguvu by the time huu mchakato unaendelea miminilikuwa natafuta kazi sehemu zingine si mnajua wahindi walivo?
Basi baada ya kunipa hiyo hela akawa amesafiri kufata malipo yake huko china
Kipindi yupo huko nikawa nimepata kazi sehemu ingine
Nikaondoka zangu nikabadili na simu
Hata hajawaikunifatilia mpuuzi Yule


Muindi wa tatu
Huyu tulikutana bankile ya wahindi hope mnaijua
Huyu tukawa marafiki sana wa kawaida email simu kwasana.anadai ameozeshwa mke hampendi sijui nini na nini? Kiukweli mimi na mume wa mtu huwa siwezi
Nae nikala dola zake nikasepa
Sasa kuna mwingine tena naona anakoelekea sipo sitaki dhambi tenajamani nifanyeje?
au destiny yangu ni kwa wahindi jamani?
nb sijali wale mnaoattack thread za watu personaly hii ni jf where we dare to talk openly



hata kama uligawa huwezi sema humu koz sio sifa....shame up on u!!!
 
Back
Top Bottom