kumbe wahindi nao wanatutamani

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Muindi wa kwanza
Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa
Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu
Saa moja keshanifata nyumbani
Nilihisi dalili chafu cause kampuni ilikuwa kubwa kabisa (kampuni ya ujenzi) madereva ni wengi sijui kwa nini alikuwaananifata mwenyewe one day akatangaza nia nikamwambia nitampa jibu bazazi yule
One day kuna barabara tulijenga ilikuwa ni kuikabidhi nje ya mkoa.eti akaniambie twende wote
Nikamuambia sijajiandaa
Akanipa hela ya safari cause alinipa bila utaratibu na ilikuwa hela nyingi nikasepa zangu kwanza mateso ya paleyalishanichosha

Muindi wa pili
Nilikuwa nafanya kazikampuni ya madini huyu alikuwa ni mmoja wa wakurugenzi
Nilikuwa naishikwenye nyumba ya kampuni kwa iyo akaona ili mahusiano yetu yawe sirinihame pale maana ingekuwa soo kwa wahindi wenzake maana hata mashemejizake walikuwepo
Akanipa hela ya kupangisha nyumba kodi ya mwaka mzima nay a kununuakitanda na godoro na vitu vingine vidogodogo kiukweli alinipa hela ya nguvu by the time huu mchakato unaendelea miminilikuwa natafuta kazi sehemu zingine si mnajua wahindi walivo?
Basi baada ya kunipa hiyo hela akawa amesafiri kufata malipo yake huko china
Kipindi yupo huko nikawa nimepata kazi sehemu ingine
Nikaondoka zangu nikabadili na simu
Hata hajawaikunifatilia mpuuzi Yule

Muindi wa tatu
Huyu tulikutana bankile ya wahindi hope mnaijua
Huyu tukawa marafiki sana wa kawaida email simu kwasana.anadai ameozeshwa mke hampendi sijui nini na nini? Kiukweli mimi na mume wa mtu huwa siwezi
Nae nikala dola zake nikasepa
Sasa kuna mwingine tena naona anakoelekea sipo sitaki dhambi tenajamani nifanyeje?
au destiny yangu ni kwa wahindi jamani?
nb sijali wale mnaoattack thread za watu personaly hii ni jf where we dare to talk openly

Mbona kama vile una dalili ya uchan......doa? haya pole
 
Loh! Balaa! We kula mikwanja yao usepe, manake hawana maana wale. Ila be careful usije ukala hela ya mafiosi.
 
Ahahahahahahahahahah hahahahaha kwani hao wahindi nao si binadamu
na kama dola zao unakual si ilazima ulipe au hilo hukuliona
 
Kupendwa nao haina maana kwamba utaolewa na Mhindi, inaonekana wanataka kupata tu uroda kutoka kwako hao sio waoaji. Inategemea muonekano wako na unavyojilengesha, kujilegeza na kuwarembulia macho na kukubali wanayokuambia na mawasiliano yako nao ya kimahaba. Umetuonyesha jinsi unavyokula vitu vyao na kusepa, sio vizuri kufanya hivyo kama hutaki usikubali kuchukua hela zao, zitakuja kukutokea puani siku moja chunga sana. Wahindi ni waoga sana kwenye maswala ya kutongoza mara nyingi wanawake wa kiswahili ndio wanajitongozesha kwao kwa kutaka pesa au kuunganishiwa na wanaume wa kiswahili, nawajua nina marafiki wengi sana wa kihindi na nimeshawahi kuwaunganishia sana mademu wa kiswahili na kunilipa pesa kibao.
 
kumbe wewe dalali?
 
Smile,

Wahindi nao ni binadamu ila kwa jinsi wanavyojiweka hapa Bongo, tunawaona kama viumbe kutoka sayari tofauti. Tena kama umewahi kufika huko kwao...naamini utawaona kwa jicho jingine kabisa!!

Hata hivyo wanayo haki ya kupenda na kupendwa...Hata sie wanaume huwa tunawatamani dada zao. Tatizo ni kwamba wamejifungia mno na wako tayari kumtoa mtu roho kwa kutembea na dada yao.

Lingine linalokera ni kwamba hata ukiwa naye, ndugu zake hawatapenda mzae mtoto kwa sababu utakuwa unawachafulia ukoo. Uko tayari kwa manyanyaso na hata ikibidi kuchoropolewa mimba?

Babu DC!!
 
thax babu kwa maoni yako ndoo maana nakupenda
wewe ni great thinker wa ukweli
lakini sijawai kuona wakiwa na mahusiano na watu weusi labda kwa siri
so sikutegemea kama muhindi anaweza kunitangazia nia
 
Kumbuka hao unaowalia pesa ipo siku watakusaka na kukufanyia kitu mbaya!
Bse kama huna haja ya kugawa then na ela zao usipokee,kupokea ni dalili ya kukubali kugawa mzigo.
 
Mimi nakwambia wale pesa yao, si wamezitoa kwa mapendekezo yao wenyewe. Hiyo ni dawa ya wanaopenda kucheat halafu sepa kama kawa, hawa huwa wanataka uroda tu they're not for commitment or longterm relationship.
 
Back
Top Bottom