Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

Time unayo sana tena nyinyi ndiyo wale mnaodhani kuzungumza Kingereza ni Usomi, wakati pale London kuna wazaliwa wa pale hawakwenda shule lakini wanaongea Kingereza je? na hao ni Wasomi? Taaluma ni lugha ni vitu viwili tofauti ndiyo maana kuna Wasomi wa kichina, Rusia, Italy, German, Spain, na kwingineko Duniani hawajui Kingereza lakini Taaluma zao zinatumika kuendeleza Nchi zao.
Kweli leo umedhamilia kuyaonyesha hayo magamba nini kilimkimbiza prezdaa jana kukutana na wadhunguu
 
Kuwa muelewa basi....CV za hao wote uliwataja zipo hadharani (tovuti ya bunge) na CV zao zina taarifa zote muhimu....tatizo Mbowe, Mnyika na Kubenea ni kwamba hata CV zao hazieleweki....mfano Mbowe CV yake inaonyesha kaishia darasa la 7, na shule alizosoma hazijulikani!....huyo KubeneaCV yake imewekwa picha tu na contact info zake, hakuna shule wala hakuna chochote.

Kwa maneno mengine, vitambulisho vyao (Mbowe na Kubenea) vya kupigia kura vina taarifa nyingi kuliko zile taarifa zilizo kwenye CV zao! Hii ni aibu!
Tunaomba taarifa za maji marefu zipoje,pia husimsahau deo sanga a.k.a jah people tuwekee hizo cv zao
 
Kibaya nikwamba hawawatu hawajitahidi kujiendeleza kielimu, tuwape morali wajipanue kidogo kielimu tuskie dokta Lema, eng. Mbowe, prof. Livingstone (kibabaji), dr mch. Msigwa etc.
wakishapata ubunge wanahisi wamemaliza wanabaki na ujanjaujanja wa maneno na kiinglishi cha kuotea
Dr jana kawakimbia wenye lugha , chezea lugha ya mama wewe?
 
CV mara GPA..maji shida,umeme ovyo,Elimu duni kabisa,Afya Tanzania leo tunazungumzia kuwa na T scan Mbili? Madawati hakuna mbao za kumwaga zinakwenda nje nayo hii inataka CV na GPA nzuri...wewe kama zinaweza zikaibiwa pc za kamishina wa TRA kitu gani kinashindikana kufanyika au kufoji waonekane wamefauru huku vichwani wakiwa Empty kabisa..Yule Kangi Lugola ana upeo Mkubwa kuriko hao ma Dr wengi WAKUCHOVYA walio Bungeni..
 
wewe mleta mada bila shaka unatokea mitaa ya lumumba, na lazima utakua umetumwa na magamba wenzako
 
Lemutuzu Ametumia elimu yake kwenye ukuhadi. Ameuza wademu kibao mjini na wamejipatia ajira kwenye soko la sex workers
Nasikia siku hizi baada ya mama kutemeshwa kibarua pale same,sasa hivi lemutuz hali ni tete maana kaambiwa ajitegemee
 
CV mara GPA..maji shida,umeme ovyo,Elimu duni kabisa,Afya Tanzania leo tunazungumzia kuwa na T scan Mbili? Madawati hakuna mbao za kumwaga zinakwenda nje nayo hii inataka CV na GPA nzuri...wewe kama zinaweza zikaibiwa pc za kamishina wa TRA kitu gani kinashindikana kufanyika au kufoji waonekane wamefauru huku vichwani wakiwa Empty kabisa..Yule Kangi Lugola ana upeo Mkubwa kuriko hao ma Dr wengi WAKUCHOVYA walio Bungeni..
Mkuu isanga family asante sana kwa kutema sumu kali lkn yenye kuponya watu wenye mtindio wa lumumba
 
CV Tanzania zinasaidia nini? Wasomi wakubwa Tanzania ni wezi wakubwa Madili yote wizi wote umefanywa na wanaojiita maprofesa, akina Mwakyembe, werema, msabaha, chenge balali, Tibaijuka,mbilinyi,Kapuya, ngereja, muhongo na wenzao wengi, Tanzania CV haina manufaa yeyote labda Nchi zingine wabunge wangapi Wasomi lakini bungeni wanalala tu, wanaenda kupokea posho na kurudi Dsm kuishi pasipo kurejea Jimboni kujua shida za wapiga kura, huko ccm mbona kuna cv kibao lakini bungeni anayetumika kuwatetea ni kibajaji na akina Kesi wa kansi hao wana cv gani?
unahuzunisha sana huo uelewa wako. Leo mmekosa point sasa mnatetea DIV 5 Kwa kuwa ndio waliojaa chadema! Huwa mnaponda sana watoa mada humu kwa kuwaita hawajasoma leo mmejaza wajinga bungeni unakuja na blah blah hapa.
 
huyu jamaa akikaa kwa kipindi fulani humu JF pila ya kujitoa akili mbele za watu sijui uwa anajionaje,
 
unahuzunisha sana huo uelewa wako. Leo mmekosa point sasa mnatetea DIV 5 Kwa kuwa ndio waliojaa chadema! Huwa mnaponda sana watoa mada humu kwa kuwaita hawajasoma leo mmejaza wajinga bungeni unakuja na blah blah hapa.
Anatakebeza elimu ya juu basi na apimwe akili,tunahitaji sana wasomi wengi ili kusaidia maendeleo ya nchi yetu. Wasomi tunaowahitaji si wenye Phd na Masters tu, bali wasomi wenye uwezo wa kutatua kero za wananchi na kuweza kuwahudumia watanzania pia. Mfano,sitalajii hospitalini tujaze wasomi wa vyuo vya viwango vya cheti ili wahudumie wagonjwa first end na sehemu zingine kama vyuoni,mashuleni na pia mawaziri si vizuri kuwa na kiwango cha darasa la kumi na mbili! Phd holders nao ambao ni majipu pia hatuwahitaji kwa sababu usomi wao bado hauleti tija kwa taifa hili. Kama una msomi wa level ya university halafu kazi yake ni kukuwadia waheshimiwa sidhani kama usomi wake utakuwa na tija kwetu!
Tatizo kubwa sana linalotusumbua ni mawaziri kutoka miongoni mwa wabunge, wabunge wabaki kuwa wanasiasa na mwanasiasa hata darasa la saba anaweza kuwa argument za kuwafaa watu wa sehemu alotoka na wakasema ndiyo kwake! Wabunge form four na kuendelea si tatizo,shida inakuja kwa watendaji...
 
we vipi! kwa hiyo unataka wabunge wale wenye elimu ya "hapa na pale"! jamani nchi ina vioja hii!
 
Kaambiwa ajitegemee? Kwani Davis Mosha naye kamtosa?
Mkuu baada ya mosha kuchunwa kule moshi sasa hivi kawa mbogo hataki tena makupe kuendelea kutonesha vidonda alivyo vipata kutokana na nguvu ya ndesa pesa,chezea moshi weye?
 
Mimi si mtetei lakini najaribu kutambua kwanini tunaweka vigezo vya elimu kisheria. Mfano Raisi awe ni mtanzania mwenye elimu ya shahada moja kama kigezo cha chini wakati tunajua elimu haina maana?
Elimu ni msingi wa maendeleo tusijisifu kuwa na viongozi wasio na elimu maana kama wanafanya vizuri bila elimu wakielimika watakuwa wazuri zaidi. Elimu ni muhimu kwa maisha inakupa nguvu na ujasiri wa kufanya majukumu yako ukiwa na uhakika unajua unachokifanya. Elimu haina mwisho tujielimishe
 
Back
Top Bottom