William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Nimeshitushwa sana na ukweli kwamba Viongozi wengi wa Chadema tena wa Taifa, hawana elimu ya kiwango cha Chuo Kikuu chochote Duniani. Inasikitisha sana kwamba hata kufikia leo hawajishugulishi kabisa na kipata elimu hiyo, sasa ujumbe wao kwa wanachama wa Chadema na wananchi wa Tanzania ni nini hasa kwamba leo Mwaka 2013 bado kweli inawezekana kuongozwa na Kiongozi wa Taifa asiye na elimu ya juu?
- Tumewaambia mara nyingi sana kwamba wakati umefika wawaaachie Uongozi wa juu wa Chadema wasomi na vijana kina MWanakijiji, Dr. Kitila na wengine maana haiwezekani leo 21st Century tunategemea kuongozwa kunakotakiwa na Viongozi wa Taifa wasio na elimu ya level ya Chuo Kikuu, haiwezekani jamani. Ushauri wangu wa bure kwa Chadema hawa Viongozi wapumzike warudi shuleni wawaaachie wengine wenye elimu kubwa huko Chadema.
- NI SUAHURI WA BURE TU, NA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Le Mutuz The King Of All Network Social Media at Blogu ya Wananchi.