kumbe vijana wa kisasa wanakula UGORO?

Juzi juzi tu nilimshangaa sana dogo fulani hivi akibwia ugoro, na leo hapa jf nakuta uzi unaodiscuss suala hilo hilo? Hili sasa balaa..!!
 
Mbona nipo eneo la tukio siwaoni? Usikute umevaa sare za ccm, leo ni red hadi naniliu!
Huo ushauri wa kimassawee nimeukubali. Ila ugoro ni halal? Manake nimechoka kukimbizana na polisi na uzee unakaribia atii. ODM usimuhofie, anahongwa ugoro yule,lol
Hehehe! Kumbe mkweo ndio bingwa wa kuchunae? Sasa twampitia wifi au kila mtu apite njia yake tukutane kule mahali?


Vijana karibu wote wanakula ugoro, wanaupenda balaa, wamesababisha upande bei mpaka wazee kama ODM wanashindwa kumudu kununua! Maisha ghali mke mwenza, ajira hakuna! Vijana akili na maarifa yote yameishia kunywa/kuvuta ugoro...lol, waonaje ukiacha kuuza bange badala yake uuze ugoro? Ni ushauri tu mke mwenza!
 
Mbona nipo eneo la tukio siwaoni? Usikute umevaa sare za ccm, leo ni red hadi naniliu!
Huo ushauri wa kimassawee nimeukubali. Ila ugoro ni halal? Manake nimechoka kukimbizana na polisi na uzee unakaribia atii. ODM usimuhofie, anahongwa ugoro yule,lol
Simama hapo hapo, nishakuona namtuma muhudumu aje akuonyeshe tulipokaa, duuuh, umependeza sana mke mwenza mpaka nakuonea wivu lol....


Sijawahi kusikia kama ugoro ni haramu bana, nafikiri ni halali manake naona hata police wanaununua hadharani na kuutumia hadharani...hivi unalewesha au? Changamkia mke mwenza tumalizie kile kibanda chetu kijijini!
 
Mirungi,kuberi, pariki, ugoro, bange, sigareti, kunusa petrol na gundi, tumbaku/gozo, pombe both za kienyeji na za kiwandani, unga, coctail/wenyewe wanaita kokteli/mseto wa vilevi..
Vijana itafkia stage tutatia vichwa vyetu kwenye tundu za vyoo vya shimo in search of hizo tunazoita stimu.. Namna gani bwana
 
Back
Top Bottom