Kumbe ukiwa mwanachama wa CCM ni kosa?

Tukundane

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
11,455
8,248
Katika pitapita zangu katika vijiji vya mkoa wa mbeya wilaya ya momba.nimekutana na mzee mmoja akiwa amekamatwa na vyombo vya dola huku akiwa amezingilwa na kundi la vijana kwa kuwatishia kuwaua vijana hawo kwa njia za kishirikina.katika tukio hilo alijikezo kijana mmoja anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 15 akasema kuwa baba yangu siyo mchawi isipokuwa anakosa kubwa moja aliongea tena kwa msisitizo mkubwa.aliposisitiza sana nilimuuliza kuwa ni kosa gani kubwa alilonalo baba yako?.jibu ambalo sikulitegemea nilijibiwa kuwa kosa kubwa alilonalo baba yangu nikuwa balozi wa ccm.lkn alikoma siku alipo jitangaza mbele ya wanacdm kuwa yeye ni balozi wa ccm kutokana na kibano alichokipata kutoka kwa wanacdm.kwa kuogopa kupata kibano kingine ameamuwa kukabidhi ubalozi kwa mtu mwingine.sasa hivi ukiitishwa mkutano wowote uwe wa ccm au cdm baba haendi ndiyo kwanza anajiendea klabuni kujipigia ulabu wake.
 
Back
Top Bottom