Mbona mnalalamika sana na MoU hii? kama nongwa si mjenge na ninyi hospitali zenu muone kama serikali haitawapa ruzuku. Bugando, KCMC n.k kwani zinatibu wakristo pekee? acheni kuwa na mawazo mgando kiasi hicho. Mbona hamshukuru kwa mkapa kuwapa majengo mali ya tanesco kuwa chuo kikuu cha kiislamu??
Sio haki kuhamisha thread ya mtu na kuipeleka sehemu asiyokuwa na access nayo. Nimeonelea nichukue kifungu hiki cha maneno tujikumbushe na tutafari kuwa kama hii lililozungumzwa ni sahihi bali kuna fact yake iliyosababisha hilo. Fact yenyewe ni udini wa EL kwa kuwekeana mkataba wa siri na makanisa ingawa JK kashindwa na kaachia. sasa endelea....
Kuna tetesi Zimeenea mtaani kuwa baada ya JK kuingia madarakani aligomea ruzuku iliyokuwa ikitolewa na Serikali kuendesha makanisa pamoja na taasisi zinazoendeshwa na makanisa katoliki nchini kama shule, hospitali na vyuo. "The Government shall provide financial assistance to Church institutions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"
source:The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3 (attached herewith)
Nasikia JK aliwaambia kuwa nchi hii haina dini na itakuwa ubaguzi kuwapa ruzuku watu wa dini moja na kuwaacha wa dini nyinginezo akatolea mfano kuna waislam, wabudda, masingasinga, wahindu na wasiokuwa na dini je hao hawana haki ya kupewa ruzuku? na serikali ikitoa ruzuku kwa hawa wote itawezaje kujiendesha? Basi bora mkose wote. Hapo naona JK aliona mbali sana ila hakujua kama anajiharibia yeye na chama chake.