Kumbe tp mazembe nao ni chadema cheki hii

Jidundufila

Member
Nov 2, 2010
86
11
mazembe.jpg
Hodiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
eeeeh heee chadema kila kitu,kweli tumevuma mwaka huu ulikuwa wetu banaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ni aibu kwa sisi tz!congo wametoka kwenye vita juzi tuu!lbut they re best in africa champs clubs consecutively!!!
 
dah wa congo bana very smart, kuanzia franco, wale jamaa wa kavasha akina nzaya nzayadio, nani hakupenda kavasha miaka ya sabini na themanini? chui wa zaire alipokwenda world cup 1974 ingawa aliraruliwa kucha tisa lkn ana historia, mohamed ally alizitwanga kinshasa dikembe mutombo alicheza nba wa kongo kibao wanaupiga ulaya, vita kila kukicha lkn sisi na wimbo wetu wa amani hauna lolote siasa za kipuuzi, michezo hatuwezi, muziki hakuna kitu, biashara kimataifa hakuna hili ni taifa mfu. ukiangalia vi timu vyetu vinacheza unaweza kutapika.
 
tena na wa dedicate na nyimbo zote za lwambo, simaroo lutumba tehe nawaambia wabongo waulizane KANDA YA NINI? (chuki ya nini) hahahaaaa hapa nilipo naburudika na kamikaze na matata ya muasi zote za le grand maitre. bongo npira hatuwezi fitna zimezidi.
 
Back
Top Bottom