Kumbe Tanzania kuna Waziri Mkuu

landiis

Member
Jan 30, 2012
8
2
Kwa muda mrefu sijamsikia Waziri wetu Mkuu Mheshimiwa Pinda akihamasisha Masuala ya Utendaji serikalini kama Mtendaji mkuu wa serikali hadi Madaktari walipogoma akajitokeza hadharani. Je, alikuwa likizo ya muda mrefu?
 
Huyu ni yes man. Toka edward lowassa ajuuzuru hiyo nafasi iko wazi abisa. Watu wamesema wanataka 3500,000/= sawa ubwa wewe unatoa ngapi. Hapa ni swala la hela siyo majadiliano. Hii siyo siasa.
 
Alienda kuifanyia modification sura yake maana hana analoweza kuamua mpaka ampigie simu bosi wake kilaza.
 
kejeli za nini wakti ndio waziri mkuu wenu Tz/tanganyika.

Mkubali mpinge yeye ndie PM kisharia na bunge lilimthibitisha tena kwa swifa nyingi sana nzuri nzuri. sasa megeuka?
 
Kadri siku sinavyopita ndiyo busara zake zinapungua. Alipoteuliwa kwa mara ya kwanza alionekana kama anajua mambo na mwenye huruma hadi kujinasibu kuwa yeye ni mtoto wa mkulima. Lakini sasa amenogewa na ufisadi hakumbuki alikotoka!
 
ni mtoto wamkulima aliyeishi maisha ya kifisadi kwa mda mlefu tuu atakumbukaje mashamba, na kwa taalifa yako hawa watoto wanaokuwa wawakulima wakipata ****** hulia mbwatamwata!
 
Back
Top Bottom