Tazama huyo jamaa wa JWTZ kabeba FOOTBALL kama wanayobeba jamaa wa Obama ambayo ina nuclear codes au ushamba wangu?
sasa kama ikitokea ishu na jamaa mkono uko bize na hicho kibegi nani atamsaidia rais?
watu wenye kujua mabo haya hebu nifahamisheni
Ya kwetu hii hapa:
ya kule kwa Obama hii hapa:
Na kama kweli tunayo kwa nini viji nchi kama akina malawi wanatutafuta?