Kumbe Tanesco iko ICU

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Mkurugenzi wa tanesiko amekiri kuwa tanesco iko hoi wanatarijia kukopa ili wafanye ukarabati wa mitambo.

Bakuli lao la mkopo likifail tunarudi gizani.

Star tv 18/03/2012
 
Kuna mgao wa kimya kimya hawataki kutangaza rasmi kuepuka pingamizi la wananch kwa kauli za uongo alizotoa ngeleja mwishoni mwa mwaka jana
 
Inaashiria bank za ndani hazina imani na tanesiko ndomaana wanakimbilia mabenki ya nje kwenda kukopa
 
Ile mitambo ya simbion zilizosambazwa mikoani zinafanya kazi gani?
 
Kila kitu kinaendea shaghalabaghala maana nchi ipo katika ombwe kubwa la uongozi toke dunia ianze.
 
Ngeleja na mpango wake wa dharula yuko wapi? au ndo hela walipeleka uzini na igunga? na sasa arumeru east?
Hii nchi haina mwenyewe tokea Nyerere auwawe
 
Turudi tu gizani kieleweke, umeme wenyewe kila siku bei juu.

tutarudi gizani mara ngapi?kuna mahali hapahapa dar tulishasaha taarifa ya habari ya saa 2 coz kila siku wanakata umeme kila saa 12 jioni
 
Wameona madhara ya kutumia mipesa kibao kwenda ikulu bila kujua wataendeshaje nchi....nchi haiendi kwa auto pilot!!ndio mjifunze wale wanaokimbilia ikulu tuwaulize mara tatu wanafuata nini???
 
Hili jambo la wagombea kutokubali kujibu maswali ya wananchi, kutokubali kusimama majukwaani pamoja na wanasiasa wenzake kujibishana kiushindani kuhusu sera za vyama vyao na siasa za uongozi wa nchi kwa ujumla ni lazima litazamwe kwa undani. Kama kiongozi hana uwezo wa kusimama jukwaani akajibu maswali ya papo kwa hapo na kujipima na wanasiasa wenzake kuhusu mipango aliyo nayo ya kuendeleza nchi yetu na aweze kueleza kinaga ubaga atakavyosimamia kuboresha uchumi wa nchi basi hatufai! Hicho ni lazima kiwe kigezo 2015.
 
Tanesco has deeper issues beyond the current popularized ones..., if lets say a new household needs to connect to their so called grid,the y have to bribe everyone to get it on top of the service line fee they pay.bribe the manager,bribe the technicians,bribe the drivers,bribe the inspectors..,then if lucky wait for may be six months before they finally get to see the elusive power..,guess what..,they will be welcomed with severe rationing thereafter..,

Then we have Tanesco lamenting that they do not have cash..,the fact of the matter is your so called mafundi's and employees a re fcuking up the company all the way..,

One day The government will wake up and Tanesco will get competitors,then they will have to fight for customers the way TTCL does now..,May be then,they will learn how to run an efficient organization,one that is free of corruption and one with a vision to deliver good service.

Sad thing is everyone inside Tanesco knows about these things..,yet they have opted to chill out and wait for the day when they run to the ground...,Bastards!
 
Dr Rashid iokoe Tanesco! hawa madogo Ngeleja na jamaa wa SMG bure kabisa! ulitabiri Dr nchi itaingia gizani! hawakukuelewa! ondoka huko Amana Bank iokoe Tanesco.
 
Back
Top Bottom