Kumbe sometimes za kichina sio feki !!!

Rugas

JF-Expert Member
Jan 8, 2009
1,048
196


Hapa kweli mchina amefanya mambo...hakuna cha ufeki wala nini? Alichotaka amekipata sawia...
 
Duuu!!!!! nadhani hata saizi ya kitasa itakua ya kichina.....kukoja je anachuchumaa, analala, au anakaa??? maana huenda ukawa unaishia kwenye mapaja??? na sijui kwenye suala la kupiga kubwa.......
 
Kupiga kubwa, ni inasambaa all around na anatumia roll nzima ya toilet paper ku-clear hiyo messy.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom