Kumbe polisi nao majambazi?!

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Nimefanya ka mini-research barabarani nikasafiri kutoka ngara kupitia kahama, nzega, singida hadi Arusha. Katika vituo vyingi vya polisi (about 75%)ya vyote, dreva na kondakta mmojawapo anatoka nje kwenda nyuma ya gari kumrekebishia trafiki au polisi. Mwisho wa safari nilimuuliza ameachia ngapi akajibu kawaida kila kituo lazma zibaki jero kumi, na wastani lazima kilo tatu ziishe kwa kila safari. Kwa mtindo huu naona hawa jamaa nao pia ni majambazi ingawa wao hawafyatui risasi. Mbinguni ni mbaaaali!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom