Kumbe Padre naye si haba!

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Kuna kijana mmoja alienda kuungama kwa padre.Mojawapo ya dhambi zake ilikuwamo hii ...'Jana usiku nilikwenda beach nikawaona watu wawili wamelala nadhani walikuwa wana...nikawa nawamulika na tochi ya simu...' Kabla kijana hajamaliza sentensi yake padre akamkata kauli na kumwambia 'pumbafu kumbe wewe ndo ulikuwa unatusumbua kwenye starehe zetu!'
 
nadhani kichwa chako kimeingiwa na virus, u need to boot your head
 
Back
Top Bottom