Kumbe nyerere alikuwa ni chain smoker!

malkiory

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
270
24
A forceful speaker, given to fiery phrases, he is fluent in both English and Swahili. in 1963 his translation of Shakespeare's Julius Caesar into Swahili was published in Dar Es Salaam. He was a chain smoker and liked an occasional Scotch and soda or gin and tonic, and he claimed that he had "all the vices." Having living use for pomp, he preferred to dress informally, in sports shirts, but on public celebrations he wore his native address.

Source: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
 
Ina wezekana ila sijawahi kusikia.Alifanikiwa kweli kuficha.Ninachojua ni kwamba alikuwa agent.Sasa kwa agent any vice is possible.
A forceful speaker, given to fiery phrases, he is fluent in both English and Swahili. in 1963 his translation of Shakespeare's Julius Caesar into Swahili was published in Dar Es Salaam. He was a chain smoker and liked an occasional Scotch and soda or gin and tonic, and he claimed that he had "all the vices." Having living use for pomp, he preferred to dress informally, in sports shirts, but on public celebrations he wore his native address.

Source: MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
 
Tikerra, yawezakana kabisa alikuwa mvutaji kwa kuficha/siri, ukizingatia background yake ya ualimu, walimu miaka ya nyuma walikuwa hawaruhusiwe kimaadili kuvuta sigara kwenye public.
 
...he claimed that he had "all the vices.", Ganja ndani.

Ha ha ha!Mi alikuwa akinimaliza na ile style yake ya kukuna pua....How did you know about ganja?Ama umeassume kuwa ni one of the vices he has been reffering to?
 
Whats the issue here? Badala ya kujadili masuala muhimu ya kitaifa tunajadili maisha binafsi ya watu. Then ukishajua kwamba alikuwa "mvuta bangi" iweje? Ili na wewe ukavute kwa kuwa Mwl. alivuta? Au ukakune pua kwa kuwa alikuna pua? Hata baadhi ya manabii walitenda matendo machafu ajabu sembuse Mwl. Nyerere? Kasome vitabu na nyaraka mbalimbali za dini yako vizuri na ukiwa na fikra huru utaona baadhi ya matendo machafu ya baadhi ya manabii wako.

Kama ni lazima sana kujadili matendo ya Mwl. then yajadiliwe matendo yake "ya kirais" au "kama rais" na sio yeye kama mtu binafsi; kama kuvuta bangi (kama kweli alivuta) kunahusiana na urais wake then thats OK - inaweza kujadilika; otherwise, tuna-discuss upuuzi! Inaeleweka kwa mfano ilikuwa ni wajibu wake kuongoza serikali vizuri; kama alifanikiwa au alishindwa hayo ndio mambo ya kujadili. Lakini kujadili kwamba, kwa mfano, "alimjua mkewe" mara tano kwa siku, huo ni zaidi ya upuuzi na haitakuwa ajabu baadhi ya "wendawazimu" wakaleta hoja ya kipuuzi kama hii hapa jamvini.
 
Kwao Ganja ni mboga, hilo halina ubishi.
 
Kumbuka, nyerere was a "public figure", kumzungumzia yoooote yake ni katika kumkumbuka. Haswa zaidi haya yaliyojificha, labda ndio sababu za kushindwa kwake kuiongoza nchi.
 
Whats the problem?Jazba ya nini?Ni heri ungekaa kimya tu kwasababu kuja hapa na kuchangia kuwa wengine hawakutakiwa kuchangia ni uluna.
 
Nyerere was a chainsmoker during the struggle for independence. And yes, he drank scotch whisky. A doctor told him: "at this rate you will not live to see your country become independent." He gave up cigarette smoking and whisky drinking. In his later years he would drink a bottle of beer and a glass of wine. There is an old picture of him in the TANU office with a cigarette in his hand.
 
Kumbuka, nyerere was a "public figure", kumzungumzia yoooote yake ni katika kumkumbuka. Haswa zaidi haya yaliyojificha, labda ndio sababu za kushindwa kwake kuiongoza nchi.
Nyerere hakushindwa kuongoza nchi. Kwa nchi ambayo ilikuwa na less than a 100 graduates at the time of independence kuwa na literacy rate of 85% wakati anaondoka mamlakani huwezi kusema huko ni kushindwa. His record on the liberation of Africa is unparalled.
 
Nyerere was a chainsmoker during the struggle for independence. And yes, he drank scotch whisky. A doctor told him: "at this rate you will not live to see your country become independent." He gave up cigarette smoking and whisky drinking. In his later years he would drink a bottle of beer and a glass of wine. There is an old picture of him in the TANU office with a cigarette in his hand.
Nakumbuka walisema favorite bia yake ilikuwa Pilsner.
 
Huwa wanafanya kwa siri sana,we unadhani kwanini hayo mambo yalikuwa siri?Mfano Rais wa marekani anajua every thing kuhusu rais say wa Russia ama Venezuela...Yani intelligence briefing zinaenda hadi kwenye issue kama hizi,na pia issues kama what he eats what he drinks,his habits etc...Ndio maana nashangazwa na wengine wanaoshangazwa kuhusu mjadala huu.
 
Back
Top Bottom