Kumbe Ni Vocha tu Ndio Hazijapanda bei!!

Katavi ukinunua vocha ya elfu tano hupati thamani ya elfu tano kuna charges na kodi zinakatwa kwahiyo utapata thamani ya 4600/- hivi ukichanganya na wizi wao inaweza kuwa hata chini ya hapo.Juzi simu yangu ya Zantel nimeongea dakika 1 na sekunde 20 wakanikata 1020 baada ya kulalamika wakarudisha 470/- sasa wangapi kati yetu huangalia salio kabla na baada ya kupiga ? ili ujue imeibiwa au la.

alaa kumbe hata makampuni ya sm yanachakachua. Asante mkuu. Nitaanza kufuatilia kila ninapopiga sm.
 
Nauli bei juu, Baba V atatembea sana kutoka Lumo to kibaruani kwake

Aisee yaani Sumatra naona walinidhamiria mimi, nina mpango wa kuacha kazi au nihamie Tegeta. Hivi wapi wanakopesha pikipiki!? na masharti yake ni yepi!?
 
Last edited by a moderator:
Huku mtaani kwa kweli hali ni ngumu ajabu, kila kitu bei juu, vocha tu ndio bei ileile ya mwaka jana. Sijui wanatuvutia pumzi bado!!!
Kwani kinachouzwa ni vocha au muda wa hewani? vocha yawezakuwa 500 lakin muda wa hewani juu.
 
Baba V unasema ipi kati ya hizi
motorcycle3.jpg








Nazifahamu basi..?? ila kuna vile vidogodogo vinaelekea kufanana na Vespa, nikikipata kama kile watanikoma Lumo.:A S shade:

042612-2012-vespa-lx125-india.jpg
 
Last edited by a moderator:
ah ah!
Hicho kinauzwa bei sawa na bure, nenda pale tunakopesha utakapata kwa mkopo.. Nawewe ujitesee huko makirikiri
Enhee kama hikcho kidogo, sijui vinauzwaje vile?? na mkopo je? nikikipata kama hicho kutoka Lumo hadi Makirikiri dakika tano tu, mbona watakoma....!!!
 
ah ah!
Hicho kinauzwa bei sawa na bure, nenda pale tunakopesha utakapata kwa mkopo.. Nawewe ujitesee huko makirikiri

Naenda aisee, afu nikikukuta na Navara yako lazima niku ovateki
 
ah ah! Hako utakua unakura na vichwa mara moja moja unapata na pesa ya mafuta.. muhimbili watu wanaopata ajali za piki piki nasikia hua wanawaka miguu, so usijaribu kuni overtake
Naenda aisee, afu nikikukuta na Navara yako lazima niku ovateki
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom