Kumbe ni kweli kuwa zembwera ni kilaza!! Hata hili 2 hajui!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,278
nakubaliana na wale wadau wa jf waliokuwa wanadai kuwa mtangazaji wa east africa radio maarufu kama zembwera ktk kipindi cha super mix, ni kilaza kwani hajui hata vipimo vya urefu!juzi anasema alishuhudia mtoto amegongwa na gari na kuburuzwa umbali wa kilomita 150!!na hakufa! Sawa na urefu wa viwanja vi 5 vya mpira wa miguu!!hivi viwanja viko dunia ipi? Vyenye urefu huu!tena anarudia rudia kwa msisitizo,kuonyesha kuwa anajua kile anachoongea,na hata huyo mtangazaji mwenzake michael baruti kumsahihisha hamna!jamani hata ile kanuni ya darasa la 4 ya mimi sili dagaa maana dagaa huleta kichaa,ilimpita kushoto!kwa watangazaji hawa bado kuna safari ndefu.
 
Haaaaa umenikumbusha mbali sana

Dagaa Huuza Dukani Kwa Daudi Sent Mia
 
Mmmh hii kali, yani 150km hiyo ni safari ya masaa 3 au zaidi. lol. hata kama kamaanisha 150m viwanja vitano ni zaidi ya hayo.

Kweli common sense is uncommon
 
150 kms kwa masaa 3+? Madame, unatumia baiskeli ama unaongelea foleni ya mbagala to tegeta?
Mmmh hii kali, yani 150km hiyo ni safari ya masaa 3 au zaidi. lol. hata kama kamaanisha 150m viwanja vitano ni zaidi ya hayo.

Kweli common sense is uncommon
 
Simshangai zembwela najua anajitafutia riziki lakin anachokera ni tabia yake ya kujifanya anajua sana kwenye kipind chake cha supermix mtu akipiga cmu kutoa mtazamo wake yy anamcritisize hapo ndo anakosea ajaribu kumuiga michael baruti but anajitaidi sana
 
Mweleweni Zembwela jamani,
Jamaa still ni mchekeshaji..hapo anaongea tu kama joke ili kufikisha ujumbe, but siyo kama alikuwa akimaanisha kweli!
 
Hahaha! Umesahau ni Senti MiaMoja,lol

Kuna ile ya periodic table sijui tulikuwa tunaimbaje tena?
Hellow Hemedi...

Haaaaaaaa da form ii hyo mambo ya mkandawile daaaaaa mie nakumbuka SPEC-different btn mixture and compound,da usipime mtu wangu long sana hayo makitu,zembwela kabla ujasema kitu ebu discuss off air na baruti kwanza unajiaibisha,kuna kipindi uliachia wimbo wa kidumu ft sana-mulika mwizi lakin wewe ukasema kidumu ft lady jd-mulika mwizi na kuna msikilizaji alikutumia sms kwamba umekusea sio lady jd lakini ulipotezea sms na kuishia uwo wimbo hakuimba ladj jd basi ukaishia hapo hapo hauja omba radhi kwa wasikilizaji anyway zembwela unajitahidi lakini.
 
mh huyo zembwela na anavyojua kujishaua kwenye icho kipendi chake looh mpaka anaboa
 
Haaaaaaaa da form ii hyo mambo ya mkandawile daaaaaa mie nakumbuka SPEC-different btn mixture and compound,da usipime mtu wangu long sana hayo makitu,zembwela kabla ujasema kitu ebu discuss off air na baruti kwanza unajiaibisha,kuna kipindi uliachia wimbo wa kidumu ft sana-mulika mwizi lakin wewe ukasema kidumu ft lady jd-mulika mwizi na kuna msikilizaji alikutumia sms kwamba umekusea sio lady jd lakini ulipotezea sms na kuishia uwo wimbo hakuimba ladj jd basi ukaishia hapo hapo hauja omba radhi kwa wasikilizaji anyway zembwela unajitahidi lakini.

mkandawile yule mwili mdogo???kama huyo alinifundisha pia.....
 
nakubaliana na wale wadau wa jf waliokuwa wanadai kuwa mtangazaji wa east africa radio maarufu kama zembwera ktk kipindi cha super mix, ni kilaza kwani hajui hata vipimo vya urefu!juzi anasema alishuhudia mtoto amegongwa na gari na kuburuzwa umbali wa kilomita 150!!na hakufa! Sawa na urefu wa viwanja vi 5 vya mpira wa miguu!!hivi viwanja viko dunia ipi? Vyenye urefu huu!tena anarudia rudia kwa msisitizo,kuonyesha kuwa anajua kile anachoongea,na hata huyo mtangazaji mwenzake michael baruti kumsahihisha hamna!jamani hata ile kanuni ya darasa la 4 ya mimi sili dagaa maana dagaa huleta kichaa,ilimpita kushoto!kwa watangazaji hawa bado kuna safari ndefu.

kwa hiyo zembwela ni kilaza au wote wawili?
 
Periodic table 2likuwa tunaimba hallo helena lile beberu bora chnja na ondoa figo nen na yule mganga aliyeiba simu pale serengt club arud kwao canada...

Unatishaaaaa enzi zetu,

House girl(Hg) tulikua tunamwita Mercury

Hg ni symbol ya Mercury.
 
Back
Top Bottom