Elections 2010 Kumbe ni kweli kikwete anatekeleza anayosema dr.slaa

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Mwanzoni sikuweza kumuelewa Dr.Slaa kuhusu maagizo mbalimbali anayompa kikwete kutekeleza, na sasa nimemwelewa hasa baada ya juzi Kikwete kuahidi kujenga Reli itakayopitisha treni iendayo kwa kasi.Kwa upande mwingine Ahadi hiyo tayari ilishatolewa na CHADEMA kama lengo la chama la muda mrefu hapo hapo Meneja wake wa kampeni Kinana alimpinga Dr.Slaa kuwa ni ndoto ya mchana.Ama kweli Slaa sasa ni muda wake kuyafanya yeye badala ya kumulekeza kikwete.
Nawasilisha
 
ccm ni manunda hawajui wafanye lipi waache lipi ndiyo maana mwisho wa siku wansashindwa yote, tulia kidogo utasikia JK atasema akichaguliwa elimu ya msingi mpaka chuo kikuu itakuwa bure , we subiri tu.
 
Uzuri wa JK hatunzi rekodi. Hata yale aliyoadi 2005 akashindwa kuyatimiza, ameyaahidi tena. Nadhani mnakumbuka alipokuwa Tanga. Barabara alizoahidi 20105 ahzikujengwa akija anaahidi tena hizo hizo. Kwa ujumla hana jipya.
 
Dr Slaa ama upeo mkubwa sana wa maarifa, fikra zake zoko mbele sana zaidi ya JK na CCm, ndiyo maana CCm na Jk wanatekeleza maamuzi yake.

Jk, wasaidizi wake wote nadhani wana ugonjwa wa kumbukumbu, kwani hata kama rais akisahau, wasaidizi wake ndiyo wanatakiwa kukumbuka, na kuyafanyia kazi.

Lets pray for Dr Slaa to save our country.
 
Mh. Raisi J.K Kikwete atoa ahadi kutekeleza aliyosema Mh. Slaa kuhusu treni za kasi
 
Last edited by a moderator:
treni ya slaa itakuwa tafauti na ya kikwete yake itachukua saa 3 dar hadi mwanza ya kikwete itachukua siku 1.chagua slaa utafika mapema.
 
Kwa sasa ahadi zimemuishia, amebaki kudakia tu. Kwishneii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom