Kumbe ndoa ni bei chee namna hii?? Sikulijua hili

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Aliekwambia Ndoa Gharama nani? Ndoa bei Rahisi
harusi ndio Bei ghali ndoa ni sh. 22500 bomani au
15000 kanisani harusi sasa ukianza na kamati ya
vinywaji tu balaa. usishangae mtu akikwambia
anaanza kutafuta ukumbi wa harusi hata kabla
hajapata mchumba maana ukumbi kupata ni shida
kuliko mchumba hahaha kama unabisha sema
 
Wewe tu na complications zako! There is something for everyone. Watu wanapiga ndoa ya mkeka, hakuna mdundiko wala nini. Na wanaishi maisha ya furaha tu. The more the mbwembwe, the worse the marriage!
 
Watu wanatafuta ukumbu kabla ya bibi harusi Kweli hii Kali
 
Na watu wengi wanapenda harusi, matokeo yake wanaishia kuishi kwa kukimbiana kimbiana!!
 
Wewe tu na complications zako! There is something for everyone. Watu wanapiga ndoa ya mkeka, hakuna mdundiko wala nini. Na wanaishi maisha ya furaha tu. The more the mbwembwe, the worse the marriage!

bora umebaelezea baelewe!
 
halafu unajua juzi kanisa flani nilisikia hii kitu sikuelewa ina mana ukitaka kufunga harusi pale unalipa laki na hamsini?Mna niliduwaa halafu sikupata wa kumwuliza nafkiri Kiranja Mkuu ndo unazungumzia hili
 
Ni wewe mwenyewe tu utakavyoamua..
Tatizo tunafanya mambo kwa kuigiza..
How comes utumie m12 kwenye harusi wakt hata hela ya kula inakupiga chenga..
 
harusi inaweza kuwa simple au complicated thing depending on how you take it. wew tafta laki 5, waite wadau wachangie 2m mnafanya harusi ya watu 100 nzuri tu. sio mpaka mpige matarumbeta mtaani na kwenda kukodi diamond jubilee hall et harusi iwe poa...
 
Garden party nyumbani, alika watu 50 milion 2 zinatosha sana!
 
Aliekwambia Ndoa Gharama nani? Ndoa bei Rahisi
harusi ndio Bei ghali ndoa ni sh. 22500 bomani au
15000 kanisani harusi sasa ukianza na kamati ya
vinywaji tu balaa. usishangae mtu akikwambia
anaanza kutafuta ukumbi wa harusi hata kabla
hajapata mchumba maana ukumbi kupata ni shida
kuliko mchumba hahaha kama unabisha sema

Mkole kuwa mwembeni sio kukosa ukumbi. Kwa kawaida ndoa sio ghali, bali Harusi ndio ghali.

Ndimi Bazazi!
 
Kwa wale wezangu na mie, Kanisa la Lutheran kijitonyama litafungisha ndoa za pamoja. GHARAMA ZOTE ZA SHEREHE NA UKUMBI ZITAGHARAMIWA NA KANISA
 
Harusi ya nn!! waolewaji wenyewe wapo basi?? .......
 
Wewe tu na complications zako! There is something for everyone. Watu wanapiga ndoa ya mkeka, hakuna mdundiko wala nini. Na wanaishi maisha ya furaha tu. The more the mbwembwe, the worse the marriage!

kama ile yangu niliyoikimbia UNUNIO
 
Harusi ni uamuzi sio lazima

Harusi nyingine zinasababishwa na pressure za watu wengine. Wahusika hawawi na uhuru kamili wa kuamua. Kama wangekuwa na uhuru labda zaidi ya nusu ya harusi zisingefanyika! Kwa hiyo mjadala ni jinsi gani uepuke pressure za wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom