Kumbe ndio maana Gbagbo alikataa kuachia madaraka ivory coast

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Sio kupenda nchi yake wala nini, ni pesa alizoiba.


Authorities in Switzerland say they have frozen assets worth 70m Swiss francs (£49m; $81m) linked to former Ivory Coast President Laurent Gbagbo.

The government ordered the freeze in January, after Mr Gbagbo refused to cede power despite losing an election.

Ivory Coast must prove the assets were gained criminally if it hopes to reclaim them.

Ivory Coast's Constitutional Council has ratified the election victory of Mr Gbagbo's rival, Alassane Ouattara.

The top court sparked a four-month stand-off in December by overturning the electoral commission's finding that Mr Ouattara had won.

The council, headed by Gbagbo ally Paul Yao N'Dre, annulled thousands of votes cast in favour of Mr Ouattara in rebel-held areas of the north, where Mr Gbagbo had alleged fraud.

The UN, which helped organise the elections, says it found no evidence of widespread fraud.

Mr N'Dre says he now accepts Mr Ouattara's victory.

He met Ivory Coast's new leader last month but refused to accept blame for the crisis, saying all sides shared responsibility.

Mr Gbagbo was arrested in April after a four-month stand-off following last November's elections.

Mr Ouattara's government says the former president is being investigated for alleged human rights abuses committed while he was in power.

Some 3,000 people are believed to have been killed during the unrest.

North African assets
Switzerland said earlier this week it had frozen assets worth SFr830m linked to regimes recently ousted from power North Africa.

Of that, the largest proportion - SFr 410m - was linked to former Egyptian President Hosni Mubarak and his circle, the Swiss foreign minister said.

Another SFr 360m was believed to belong to Col Muammar Gaddafi's regime in Libya.

A further SFr 60m was tied to former Tunisian leader Zine al-Abidine Ben Ali and his associates.
 
wizi mtupu ndio maana wakijifikilia kuachia madaraka mali zao zitajulikana walizoiba
 
wizi mtupu ndio maana wakijifikilia kuachia madaraka mali zao zitajulikana walizoiba
Pamoja na kukataa kuachia madaraka,mwishowe wanaumbuka.Mfano: Gbagbo angekubali kuachia madaraka,kumpongeza na shake hand na mpinzani wake baadae wakakaa faragha kwani wanajuana walikuwa wote Serikalini wakakubaliana asimchukulie hatua zozota sidhani kama Outtara angemchukulia hatua yoyote ile.Ona sasa yaliyomkuta.
 
Ahaa sasa ndio nimegundua sababu ya watu hapa wengine hapa Tanzania kuutaka uraisi kwa udi na uvumba hata kama wamevuliwa magamba,ikulu kuna biashara nzuri sana,baba wa taifa Mwl J.K .Nyerere masikini wa mungu alikuwa hajui kama ikulu ni mtaji wa kibiashara zaidi,ndio maana mapacha watatu hawasikii lolote,lengo ni ikulu tu ili wakwibe pesa yetu,ukitaka utajiri na easy money tafuta uraisi ,visenti vitaanza kuingia vyenyewe huko uswisi,new jersey,bahamas n.k
 
Hao wanaokamata mali za viongozi waliomatatizoni ni wanafiki tu, hawana lolote la kupongezwa kwa kuwa wanapaswa kufanya hivyo viongozi hao wakiwa madarakani, ni sawa na kusubiri mtu afe ndio uanze kumsifia badala ya kumsifia akiwa mzima.
 
Lakini hizo za Gbagbo mboni Ni kid go sana ? Hizo si ni chenji kwa madili wanayopiga CCM na akina RA kila siku?
 
Hao wanaokamata mali za viongozi waliomatatizoni ni wanafiki tu, hawana lolote la kupongezwa kwa kuwa wanapaswa kufanya hivyo viongozi hao wakiwa madarakani, ni sawa na kusubiri mtu afe ndio uanze kumsifia badala ya kumsifia akiwa mzima.
Kweli kabisaaaaaaaaa. Wakiwa bado madarakani wanawa-encourage waibe na kupeleka kwao ili hiyo pesa wafanyie biashara. Waking'olewa pesa yao inakuwa haramu? Wapi bwana janja yao. Inawezekana wanazotangaza ni kidogo zingine wanachakachua. Si wenyewe hawana madaraka tena! Watalalamika wapi?
 
Back
Top Bottom