Kumbe Nchi Iko Vitani na Al-Shabaab

Akihojiwa na the Daily Nation, Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Tanzania inaunga mkono hatua za kijeshi za Kenya huko Somalia ili kujilinda dhidi ya Al-Shabaab. Source: JF twitter.

Hii maana yake unapomuunga mkono adui wa rafiki yako maana yake automatically unakuwa adui wa adui wa rafiki yako pia. Hivyo, kwa maana nyingine indirectly tumetangaza vita na Al-Shabaab.

Pengne pia kauli hii ya Rais imekuja ili ku-support kauli ya Kova kuhusu kufuta maandamano yaliyokuwa yafanyike kupinga kulipwa DOWANS. Anyway, mbinu za kisiasa ni nyingi.

kwenye simba na yanga hakutakuwa na mkusanyiko?
 
Bora aseme huyo kikwete muslam mwenzenu vingivyo yangetolewa matamko dhidi ya serkali kupinga uislam
 
Hivi al-shabaab wanapenda maandano zaidi kuliko kusanyiko la uwanja wa taifa fitina hizi
 
Akihojiwa na the Daily Nation, Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Tanzania inaunga mkono hatua za kijeshi za Kenya huko Somalia ili kujilinda dhidi ya Al-Shabaab. Source: JF twitter.

Hii maana yake unapomuunga mkono adui wa rafiki yako maana yake automatically unakuwa adui wa adui wa rafiki yako pia. Hivyo, kwa maana nyingine indirectly tumetangaza vita na Al-Shabaab.

Pengne pia kauli hii ya Rais imekuja ili ku-support kauli ya Kova kuhusu kufuta maandamano yaliyokuwa yafanyike kupinga kulipwa DOWANS. Anyway, mbinu za kisiasa ni nyingi.

Unajua Kikwete ni msanii sana na alipokutana na Kibaki kule Australia katika mkutano wa jumuiya ya madola akawa hana la kusema akaropokwa mwambieni huyu bwana mdogo aache jazba.
 
Back
Top Bottom