Kumbe Nape Nnauye ni muinjilist kitaaluma

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Kumbe katibu wetu mwenezi ndugu Nape ni mwinjilist, alitumikia kanisa huko Singida kabla ya kuingia kwenye siasa. Namshauri arudie utumishi wa kanisa kwani anaweza akapanda na kuwa mchungaji
 
Kumbe katibu wetu mwenezi ndugu Nape ni mwinjilist, alitumikia kanisa huko Singida kabla ya kuingia kwenye siasa. Namshauri arudie utumishi wa kanisa kwani anaweza akapanda na kuwa mchungaji

ndio maana kaamini kirahisi hoja ya kuvua gamba
 
Anaweza akaleta tumaini kwa watz iwapo atamsikiliza Mungu vizuri na kuyatekeleza amwambiayo.Kumbuka Ezekiel 37,Mungu alimwambie Atabirie mifupa iweze kuishi,akatabiri,mifupa ikapata nyama na uhai ikawa watu.Tz inaweza kuwa hai tena isipokuwa kwa uwezo wa pumzi ya Mungu.
 
Ok kitu kizuri,lakini karama hiyo aitumie kwa ajiri ya haki maana yake kama akiitumia uzoefu wa kuhubili kwa nia ya kupotosha jamii kwa faida zake na waotaka ufahari wa binafsi na si za jamii,Mungu atamuazibu vibaya sana.
 
mi ni tomaso kwenye hili so mwenye CV ya Nape aiweke hapa ili tuliokina tomaso tuweze kuamini maneno yako mkuu..

n
 
..kwa uelewa wangu Brig.Moses Nnauye[rip] baba mzazi wa Nape alikuwa Muislamu.

..nadhani Nape naye amechukua dini ya baba yake, sasa huku kutumikia kanisa ni kwa misingi ipi?
 
..kwa uelewa wangu Brig.Moses Nnauye[rip] baba mzazi wa Nape alikuwa Muislamu.

..nadhani Nape naye amechukua dini ya baba yake, sasa huku kutumikia kanisa ni kwa misingi ipi?

Ni kweli baba alikuwa muislamu ila mama yake alikuwa mkristo na alikuwa ni mlikole na ndiyo Nape naye akahamia huko. Shortly ni kwamba ni muinjilist na alifanya yote haya akiwa Singida kwa mjomba wake
 
Na mjue Mama ake Nape alikuja kuachana na Brigedia..so Nape kakulia sana kwa Mama

Kwahiyo unatuambia kwamba Nape ni mtoto wa mama?aaah namanisha alishi na mama yake mda wote hadi anamaliza masomo yake na ndipo hapo alipopata nafasi ya kuwa mchungaji kama babu wa loliondo?
 
Kwahiyo unatuambia kwamba Nape ni mtoto wa mama?aaah namanisha alishi na mama yake mda wote hadi anamaliza masomo yake na ndipo hapo alipopata nafasi ya kuwa mchungaji kama babu wa loliondo?
<br />
<br />
Hapana....sina maana iyo!na sikukusudia ivo!maana yangu n kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwa dini ya Mama yake..mana alikuwa sana upande wama!kweli Nape n mtoto wa mama!mana kila binadamu htoka kwa mama...U can not be a Father/Mother if you dont come from a Mother!
 
Ndugu usibishe! Nape wakati flani nikiwa chuoni hapo dari silam tulikuwa tukisali kanisa moja, pale Amana Vijana Center (FPCT)

Lakini wewe ukifikilia mtu yeyote ambaye ni smart au anauwezo wa kuchanganua mambo hawezi kufuata Dini ya wazazi wake coz wazazi hawana mbingu.

..kwa uelewa wangu Brig.Moses Nnauye[rip] baba mzazi wa Nape alikuwa Muislamu.

..nadhani Nape naye amechukua dini ya baba yake, sasa huku kutumikia kanisa ni kwa misingi ipi?
 
Nape, njoo huku kuna siredi watu wanataka kutoana nundu wakitaka kujua km uliwahi kuwa mtiwa mafuta kabla hujawa mpakwa matope (aka, mwanasiasa)
Subirini nimemwita anakuja mwenyewe aseme.
 
Back
Top Bottom