Kumbe mmeuchapa usingizi?

Tuko macho,ila mambo kimya, haya masaa mabaya sana TISS wapo kazini maana jua likichomoza ni historia mpya
 
Hebu futa tongotongo machoni mteme mate ya usingizi halafu mtujuze nani kashinda. Maana mimi sielewi hata hii nchi ya kusadikika ikoje! Arumeru sehemu zake wala siyo remote saana. Sasa till now mambo bado tunaandikiana matetesi-tetesi tu hapa.
 
Kweli wamelala fofofoo me peke yangu nafatilia matokeo nipo ifakara mnaojinya hamjalala si mtumwagie data basi. Mi nakula vitoga sasa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
 
Jf mbona akunakinachoendelea hapa kutoka arumeru tunaomba mtujuze nn kinajiri uko kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom