Kumbe Mizengo Pinda alisoma WeruWeru: angalia hapa

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
DSC_0209.JPG
 
Kiukweli kuwa ....sio lazima mtu mpaka aokote makopo!. Tuna watu humu ni ....kabisa tofauti ni kutookota tuu makopo!.
 
Hivi alipita Tabora Boys ?alipiga kwata nae au wakati huo hakukuwa na geshi pale TBS?
 
Kuna mtu nilimsikia akisema mavazi ya pm huwa yanamshangaza,mara nyingi anavaa kachumbari.nikawa najiuliza kachumbari ndo nini,nikaja pata jibu siku chache zilizopita baada ya kuambiwa nimevaa kachumbari na ndugu yangu,msichana. Angalia suti yake,rangi ya koti haiendani na rangi ya suruali aliyovaa. Sina maana mbaya lakini.
 
Chachandu hiyo. ..
 
Bwana spider nakushauri usiwe unaweka joja sizizojenga kwa wasomaji, ujue kwamba site hizi ni wasomi na watu wene mitazamo tofauti wanolenga kujifunza na kuhabrishwa kwa mambo ya msingi. hii si fb unakoweka kila uchafu ili mpenzi wako asome
 
sawa,ndiyo maana nikamalizia mwishoni kwamba sina maana mbaya kwa nilichokiandika. Angalia kichwa cha habari kinavyosema,hivi iyo shule si ni ya wasichana lakini?hebu anzia kwa mtoa mada kwanza.na nilichokisema kina ukweli,labda hujataka kunielewa tu.na nilianza kwa kujisema mimi kwanza. Asante kwa ushauri ndugu Philipo Revocatus.
 
Back
Top Bottom