Kumbe mbwa wana vyuo boarding /day ?

Dogs wa Ulaya/USA wana treat iwa vizuri kuliko mwafrika wa kawaida hivyo usishangae bajeti ya dog ni zaidi ya bajeti ya undergraduate UDSM, Hayo mambo ya kawaida tu
 
Unashangaa hayo! kuna mpaka hospitali maalum za wanyama (outpatient au inpatient) kama zilivyo hospitali kwa binadamu; kuna"animal police" ole wako utese mnyama!
 
Ndio maana kuna mateja wakishapata ile kitu, wanaanza kusema bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko binadamu afrika!
 
mbona hata bongo kuna vyuo vya mbwa?. Mbwa ili afundishwe vizur lazima awekwe boarding toka mdogo. Kuna stage ya mafunzo akifeli,hauzw kwa raia wa kawaida tena,anapigwa risasi!,Kaka tembea uone! Hata paka Vicky wa Mzungu pale Jerusalem anakula dinner/lunch kal kunizidi mimi mtoto wa tz!
 
Kurasini kuna training collage ya mbwa(board), pia anaweza kwenda kuhudhuria mafunzo akitokea home(day scola), oysterbay na victoria kuna hosp za mbwa, when necesary anaweza kuwa hospitalized kwa muda maalum au akawa OPD. Hakuna jipya juu ya hili. Ciao.
 
Back
Top Bottom