Kumbe Mario Ballotelli ni Kiongozi wa Freemason! Dunia Kwishney!!!!!!!!!!!!!

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
kls-wmk.php.jpg

Ha ha haha haaaaaaah!!
 
Kielelezo chako kijakamilika kumuushisha Mario Balloteli katika ufreemason.
 
kwa kumbukumbu zangu hiyo picha ni ya tukio kipindi kile wanajeshi wa marekani wanamshambulia osam bin Laden ilikuwa live coverage na obama na viongoz wake wa jeshi ,nasubiri kuelekezwa kwa usahhi zaid kama siko sahh katki hili!
 
acha upotoshaji ..hlo tuko ni kipindi kile wanajeshi wa marekani wanamshambulia osam bin Laden ilikuwa live coverage na obama na viongo wake wa jeshi next tyme come here with something useful here!!

Ndo walikuwa wanamtoa kafara Osama hivo! Pole kwa mapovu, we love having fun, ha ha hahaaah!
 
Mkuu umeua, sikuwa nina nia ya kuchangia lakini hii picha yako imenilazimisha,naomba kukuuliza ina maana wakati matatizo yametujaa Rais wetu yeye kakalia kupiga picha na boys to men, au ulimaanisha kingine?

Kweli tupu mkuu. Si unaona watoto wetu anawabust na uji ili waende shuleni kusiko na walimu wala madawati. Halafu anatamba kwamba ameanzisha program ya uji mashuleni kuinua elimu! Na wakati anapasua anga kwenda majuu kuinjoi na maserebrity, sisi tunaangalia picha zake na kushindana kama ameweka pozi la freemason ama la. Taifa la wajinga kweli kweli!
 
kwa kumbukumbu zangu hiyo picha ni ya tukio kipindi kile wanajeshi wa marekani wanamshambulia osam bin Laden ilikuwa live coverage na obama na viongoz wake wa jeshi ,nasubiri kuelekezwa kwa usahhi zaid kama siko sahh katki hili!

Uko sahihi 100%
 
Handsome wenu watamjuaje kama watanzania walimpa kura ili wapige naye picha kama Nyerere alivyosema! Wasanii wote karibu atamaliza kupiga nao picha...usisahau na kaburi la Michael Jackson karibu atakwenda kupiga picha hapo
 
kwa kumbukumbu zangu hiyo picha ni ya tukio kipindi kile wanajeshi wa marekani wanamshambulia osam bin Laden ilikuwa live coverage na obama na viongoz wake wa jeshi ,nasubiri kuelekezwa kwa usahhi zaid kama siko sahh katki hili!

Ni sahihi walikuwa wanaangalia Live mauaji ya Osama Bin Laden.
 
Back
Top Bottom