Kumbe magamba walikuwa wanamvizia Wenje! Hatari sasa....

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Tanzania ndo tumefikia hapa!!!!!

Yaani kumbe magamba walikuwa wanamtafuta Ezekia Wenje. Nimesoma katika magazeti ya Jana.

Kwa hiyo sasa siasa ni kuwekeana sumu na kuuwana jamani.

Jamani Watawala mmetumia polisi na mahakama kunyanyasa watanzania.

Mnatafuna rasilimali za watanzania na Kodi za watanzania na bado tu haitoshi mnaua demokrasia.


Sasa imefika mwisho, watanzania waseme hapana na ifike wakati sasa tuandamane kama TUnisia, Egypt, Libya maana kwa njia ya Kura Tanzania hatutatoka. Maana sasa wanatumia DOla na mahakama kuuwa demokrasia ya ukweli
 
Serikali isipokuwa makini, RPC na mkuu wa upelelezi Mwanza watazua balaa la kihistoria.
 
Gazeti lipi hilo mkuu...?Tuwekee hapa hiyo ripoti ili na sisi wa porini kwenye shule za kata ambako magazeti hatuyapati kwa wakati tufaidi.
 
Wao wanafikiri wakimuua Wenje ndio watalitwaa jimbo la Nyamagana? Kwa Mwanza ccm hata washindane na jiwe, jiwe litashinda.
 
mkuu,haujasome walitaka kumwekea sumu kivipi? Na wapi?
Hata mimi sijaelewa manake sumu imeingia hapo na kisha dola nayo (nalo) likaingia! Mkuu funguka basi; walikuwa wanataka kumwekea sumu Wenje au walikuwa wanamtafuta kwa mapanga na bahati mbaya wakatokea akina Machemuli na Kiwia?
 
ndio walikuwa wanamvizia wenje kwa silaha yoyote.

kama vile wanavomvizia Lema
 
Hapa kilichobaki ni kufanya maandamano kama egypt ili magamba waelewe kuwa hii nchi sio mali yao
 
Sasa hawa magamba kila mtu kwao mwiba? Lema,wenje,lissu,mbowe slaa,mdee,mnyika,bado nassar naye.duh cdm mnakazi kubwa mbele yenu,sumu mahaka polisi tutafika?
 
Haujaeleweka, sijui ni haraka ya kupost au umekurupuka.
1. Wakina nani wanamvizia?
2.sababu ya kumvia?
3.umepata wapi hizo taharifa? Na kama gazeti ni gazeti gan?
Weka habar inayoeleweka na sio habar isiyo na kichwa wala miguu
 
network failure . . . . . . . ! Loading . . . . . ! Updating kaspersky . . . . ! Avast . . . . . ! Duh bila bila, i cant update my IQ
 
Back
Top Bottom