Kumbe magamba ambayo yalikuwa yanazungumziwa ni marais wastaafu...?

Kiona

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
933
240
Katika harakati za kuendelea kuvuana ******* CCM NEC imewavua maraisi wote wastaafu uanachama wa NEC. Mfa maji huwa haishi kutapatapa hata ukimrushia boya anazama nalo. CHADEMA kiboko manake uwepo wake hichi chama cha wana majeuzi CCM hawalali usingizi.viva CHADEMA
 
humu ndani wakati mwingine watu mnaongea kero tupu,jamani tuwaacheni hawa jamaaa wafanye mambo yao na sisi tujenge chama chetu mana vinginevyo kila siku utakuwa tunawazungumzia ccm tu.
 
Katika harakati za kuendelea kuvuana ******* CCM NEC imewavua maraisi wote wastaafu uanachama wa NEC. Mfa maji huwa haishi kutapatapa hata ukimrushia boya anazama nalo. CHADEMA kiboko manake uwepo wake hichi chama cha wana majeuzi CCM hawalali usingizi.viva CHADEMA

Ngoja siku mgogoro utakapopamba moto ndipo watakapowatafuta. Kuna watu hawawataki kwa vile wanawatilia kiwingu..... Nafikiri bila wao, Babu (Makamu wa Rais) asingekuwepo pale!!
 
Jiadharin kuna siri kubwa hapo. Siri ambayo hao wastaafu wataivruga. Kaa chonjo saa inakuja.
 
Jiadharin kuna siri kubwa hapo. Siri ambayo hao wastaafu wataivruga. Kaa chonjo saa inakuja.
Huu ndio mwisho wa ccm. Kuwaondoa Mwinyi, Mkapa,Malechela .......... bomu litalipuka tu siku za karibuni. Wameamua kuwaacha watu kama kina Lowassa kweli siasa ni mchezo mchafu. Yetu macho. All i can say Chadema songa songa wakati ni huu.
 
mbona wengine wakitype linatoka fresh hili neno magamba?
ooh! naona mods wamesikia kilio chetu. magamba ni neno km maneno mengine.
 
it looks like hawa wazee walikuwa manambana mwenyekiti na kufanya baadhi ya maamuzi kuwa magumu kufanyika ndani ya NEC... kwa kuwaengua wazee, chairman kaachiwa uwanja mpana wa kujidai..
 
it looks like hawa wazee walikuwa manambana mwenyekiti na kufanya baadhi ya maamuzi kuwa magumu kufanyika ndani ya NEC... kwa kuwaengua wazee, chairman kaachiwa uwanja mpana wa kujidai..

Hapo kwenye bold ndipo haswa shida ilipo. Thinking ya kundi la akina Mkapa. Mwinyi. Malecela. Warioba et al ni tofauti sana na thinking ya kundi la mwenyekiti wa sasa. Ili kukata mzizi wa fitna, naona wameona bora kuwaengua wazee kwanza ili wafanya yale wanayotaka bila kelele. Lakini safari yao haiendi mbali sana hawa vijana, kuna pahala watakwama siku chache sana zijazo, hasa suala la uchaguzi wa ndani ya chama unapohusika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom