kipipili JF-Expert Member Jul 29, 2009 1,590 183 Mar 25, 2011 #22 Kivumah said: .....Lady Jay Dee asili yake (WAZAZI) ni Mkoa wa Mara, Wilaya ya Bunda, kata ya Nyasura, kijiji cha Manyamanyama. Click to expand... mapochopocho
Kivumah said: .....Lady Jay Dee asili yake (WAZAZI) ni Mkoa wa Mara, Wilaya ya Bunda, kata ya Nyasura, kijiji cha Manyamanyama. Click to expand... mapochopocho
chobu JF-Expert Member Nov 5, 2010 308 26 Mar 28, 2011 #23 Awe mkurya, mchaga haijalishi la msingi ni mtanzania!!!!!!!!!!!!!!!
L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 Mar 28, 2011 #24 mbona anajiita Manka? kuna Manka mkurya??? yeye ni Bhoke kwisha.
Utingo JF-Expert Member Dec 15, 2009 10,270 8,031 Mar 28, 2011 #26 Ndibalema said: ...Na bila kuwapa kichapo, wanaona huwapendi. Click to expand... nafikiri siku hizi haya hayapo
Ndibalema said: ...Na bila kuwapa kichapo, wanaona huwapendi. Click to expand... nafikiri siku hizi haya hayapo