Kumbe Lady Jay D ni Mkurya?

Mie namzimia hata yeye mwenyewe kama Gardna asingemuwahi ningetupa ndoana ili niishi naye kwa amani kabisa! She is a great thinker
 
.....Lady Jay Dee asili yake (WAZAZI) ni Mkoa wa Mara, Wilaya ya Bunda, kata ya Nyasura, kijiji cha Manyamanyama.
 
Msikilize akiongea au kuimba utagundea ana accent ya kikurya kwa mbali! ,ila nilidhani Gardner ni Mtanga kumbe Mchaga.
 
khaaaaa, kumbe Gadner mchaga? mangi? wa sehemu gani moshi? nilipenda sana alivokuwa anakihandle kipindi cha Jahazi,alivoondoka kibonde akatawala pale ambae utangazaji wake ulikuja kuniudhi sana hasa wakati wa kampeni na baada ya hapo alivokuwa akiipigia debe ccm kupitia studio.aliniuzi sana,hata kina mama wale aliokuwa anasaidiana nao kuendesha kipindi ni kama walikuwa hawawezi kuzuia,nadhani kama mtu waliyemkuta ilikuwa kama incharge wao vile. ananiuzi sana kibonde
 
Mie namzimia hata yeye mwenyewe kama Gardna asingemuwahi ningetupa ndoana ili niishi naye kwa amani kabisa! She is a great thinker

Mkuu tungepambana na mimi, niliwahi kumwambia usingekuwa mke wa Gadna ungekuwa mke wangu akafurahi sana. Huyu demu si mzuri wa sura wala umbo lakini na huruma, upendo, mcheshi na anajali sana kitu kinachomfanya kuwa ni mke mwema.
 
mi nilidhani ana undugu na Dr. Dau

Janjaweed, nimefuatilia post zako kwa makini sana, nimegundua mambo yafuatayo kuhusu tabia yako:
1. wewe ni mmbeya na unatabia ya kusengenya.
2. ni mtu wa majungu na mchonganishi
3. una upeo mdogo sana wa kufikiri na unakurukupuka hasa katika mambo usiyo yajua vizuri.
sioni mantiki yoyote ya kuleta undugu kati ya JD na Dr Dau.
rudi nyuma pitia post zako na utagundua kwamba yaha yote yanaukweli kabisa, nahisi wewe ni mwanaume na
tabia hizi hazikufai jirekebishe na uchukue hatua.
 
Duh! Sijui kama alipona kale kazoezi wanakofanyiwa mabinti wa Musoma. Kama hakupona namuonea huruma Gadna......... wimbo utakosa tune ya kifaa fulani.
 
makubwa haya...tumeendelea kiasi cha kuanza kujadili makabila ya watu humu ndani.
nasikia kingwendu ni msomali,ni kweli?
 
Duh! Sijui kama alipona kale kazoezi wanakofanyiwa mabinti wa Musoma. Kama hakupona namuonea huruma Gadna......... wimbo utakosa tune ya kifaa fulani.

Hawezi akawa alipona!! Gardna kala wachuya tu!!
 
bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa

No wonder....

you wonder what, Wakurya are very tender, loving and very submissive wives kwa taarifa yako. Ask Gardner he will tell you the same. i was let to discover this, ningejua mapema ningeoa Mkurya.
 
Mkuu tungepambana na mimi, niliwahi kumwambia usingekuwa mke wa Gadna ungekuwa mke wangu akafurahi sana. Huyu demu si mzuri wa sura wala umbo lakini na huruma, upendo, mcheshi na anajali sana kitu kinachomfanya kuwa ni mke mwema.

hahahaaaa kumbe wewe ukimuona nyanzala wangu utamwambia maneno haya haya.....ila yeye ana sura kali.....
 
you wonder what, Wakurya are very tender, loving and very submissive wives kwa taarifa yako. Ask Gardner he will tell you the same. i was let to discover this, ningejua mapema ningeoa Mkurya.
Kweli mkuu mi mwenyewe nawafagilia sana ingawa wife ni mchagga. Ila kinachoboa ni jinsi wanaume wa kikyuria (hususani wale wa vijijini) wanavyopiga wake zao.... very bad.
 
you wonder what, Wakurya are very tender, loving and very submissive wives kwa taarifa yako. Ask Gardner he will tell you the same. i was let to discover this, ningejua mapema ningeoa Mkurya.

...Na bila kuwapa kichapo, wanaona huwapendi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom