Kumbe kweli Sioi ametoboa sikio!

Unauliza vumbi stoo...hujui kuwa ni mila za wenyeji wengi ARUSHA kutoboa masikio.... Mie sishangai
 
Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa
kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
 
Ukumbuke makabila ya Arusha wanatoboa masikio na wala sio SIKIO kama alivyotoboa Sioi. Huo utamaduni wa
kutoboa sikio haupo Arusha wala Manyara.
 
Ila Sioi ana GUTS... Pamela amelandana na Baba yake haswa sura!!! Mmh sasa inakuwaje wakiwa kwenye Malavi~davi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom