Michese
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 369
- 58
Umenifurahisha sana hapo!!
Vipi kama binadamu huyohuyo kwa hiari yake akiamua kuliwa ndogo?
hehehee............
:crazy:
Hahahahahaa hii kali,
Umenifurahisha sana hapo!!
Vipi kama binadamu huyohuyo kwa hiari yake akiamua kuliwa ndogo?
hehehee............
:crazy:
What are you insinuating kwa kusema anaslai sana???? morning prayer wengi tu wanaenda kwa sababu wanawahi kufika town wakiogopa foleni so they hang in churches till office hours. take your your time to dig around utapata tu....mambo mengi hebu tafuta waliosoma na binti huyo na kwingineko wakupe tabia ya binti huyu.Pamela ni kipenzi cha lowassa haswaa katika watoto wake.na ni mtoto anayejiamini waulize wanaofanyanae kazi pale Bot.Alafu anasali sana huyu dada huwezi kumkosa Azania front morning prayer daily na kwa mwakasege
Sioi atapata support kubwa kwa wife yake .ni hayo tu
vipi Mkuu, mzuri eeh!!!!!!na huyo ndiye mke wake au??
Wale wanaosema eti kenya na S.A kutoboa sikio ni jambo la kawaida, hebu angalieni nchi gani ambazo zimenymelewa na ushoga, S.A ndo kabisa nafikiri wamebariki, Kenya ndo hivyo tena mpaka wanaruhusu wapewe warsha, sasa mnaposema tuige nchi hizi mnamaanisha tukaribishe ushoga? Yawezekana mtu ametoboa si shoga, lakini kimaadili ya kitanzania, hii siyo kabisa.
Hili jambo liwe fundisho kwa vijana ambao wanaharibu miili yao kama real tattoos, kutoga masikio n.k vitu ambavyo havitafutika daima, ipo siku vinaweza kuja kuwacost.
Mambo kasema kweli, huyo binti ana tabia nzuri sanaWhat are you insinuating kwa kusema anaslai sana???? morning prayer wengi tu wanaenda kwa sababu wanawahi kufika town wakiogopa foleni so they hang in churches till office hours. take your your time to dig around utapata tu....mambo mengi hebu tafuta waliosoma na binti huyo na kwingineko wakupe tabia ya binti huyu.
Siogopi tundu lake alotoboa bali huyu ashawekwa kenye kundi la EL akipata lazima awe fisadi. Heri wabaki mafisadi walewale kuliko waongezeke. Hope wamaru hawaongeza mafisadi.
Shoga mwingine huyu hapa.Ndg yangu Matola tupia jicho kwenye post hii tafadhali.
Kenya Chief Justice Willy Mutunga
Mbona huyu binti wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha, kura yake ni ya CDM labda kama hakujiandikisha kama mume wake.
Mbona huyu binti wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha, kura yake ni ya CDM labda kama hakujiandikisha kama mume wake.
Mbona huyu binti wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha, kura yake ni ya CDM labda kama hakujiandikisha kama mume wake.
Hivi SUGU hajatoboa sikio?Vp kuhusu cheni anazovaa?Mimi naona hilo si tatizo na halihusiani na uwezo wa mtu kuwa kiongozi!Hebu vyama vianze kushindana kwa hoja na si kupaka matope!!
Ah mambo ya cameroon hayo bwana,wasitudanganye!Kenya Chief Justice Willy Mutunga
Wamaasai hawaweki urembo wa heleni lakini.mbona hata masai wametoboa masikio nao ni cameruniz
Mbona mtoto wa Lowassa ambaye ni mke wa Sioi anaonekana akisema peoplesssssssssssssssssssssssssssss angalia vizuri picha hapa ccm hawana kura ya huyo dada labda kama naye hakujiandikisha kama mume wake.