Kumbe kupima ukimwi si mchezo !!

Duh hii kitu mkuu niliisikia huko watu hawajiamini bana
 
Kupima UKIMWI si mchezo hasa kama hakuna maandalizi.Nikuwa nafanyakazi shirika la umma ukabuniwa utaratibu wa kupima afya nakwambia ilikuwa mbinde kati ya wafanyakazi 300 ni wafanyakazi 40 tu walijitokeza kupima afya bila kulazimishwa, ikabidi CEO atwange memo ya kulazimisha wafanyakazi wapime afya.Wafanyakazi wakakubali shingo upande lakini hakuna alisubuti kuulizia majibu ?.

Siku hizi midume inapima UKIMWI kupitia wake zao wajawazito hakuna anayekubali kupima kwa hiyari ? .
 
Back
Top Bottom