Elections 2010 Kumbe kuna wabunge kumi wa chadema hawajatoka Bungeni Rais alipokua akihutubia bunge

Leo chadema wadini! jana walikuwa wakabila.Baada ya kushinda kila kona ya nchi sio, wakabila tena bali wadini. Mpuuzi kuelimishwa ni kupoteza muda

Waliaanza na ukabila wakaevolve into udini. Ukabila bado ni base.
 
Ni kweli wana ukabila kwa kuwa kila jimbo waliloshinda mgombea ni wa kabila moja! CCM hawana ukabila wala udini. CUF pia hawana uzanzibar wala udini!
 
- Mkuu mimi huwa ninaongea facts, sijadili hadithi nenda kwenye clip za mdahalo utaona Mh. Hamad akisema haya maneno na hutaona Mh. Mbowe akikanusha kwamba sio kweli, mimi ninaongelea nilichokiona kwenye mdahalo tu!

William.
Ina maana chote kilichoongewa kwenye mdahalo ulimeza kizima kizima bila kutafuna, jaribu kushughulisha kichwa.
 
Mgawanyiko ulitegemewa, na haitawezekana wote kuwa sawa. Tunachoangalia ni kusonga mbele
 
Ina maana chote kilichoongewa kwenye mdahalo ulimeza kizima kizima bila kutafuna, jaribu kushughulisha kichwa.

- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,

- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!

William.
 
kutokana na mdahalo wa jana nimesikia kua kuna wabunge kumi waligoma kutoka bungeni wakati wabunge wa chadema wakitoka nje ya bunge, yalielezwa na Hamad akijibu hoja ya Mbowe kuwa CUF inaonyesha kutowaunga mkono

jamani kwa nn hili hamlitaki kuliongelea

mjadala huo unaweza kuupata MZALENDO.NET « …Ni wakati wa ukweli na uwazi

Kama ni wakati wa ukweli na uwazi vipi la Kuiba kura? Au bado ni unafiki wa kila siku?
 
- Mkuu mimi huwa ninaongea facts, sijadili hadithi nenda kwenye clip za mdahalo utaona Mh. Hamad akisema haya maneno na hutaona Mh. Mbowe akikanusha kwamba sio kweli, mimi ninaongelea nilichokiona kwenye mdahalo tu!

William.

Haitoshi kusema unachoongea ni fact kama imetokana na source moja tu ya data. Fact yoyote ni lazima iwe imetokana na personal witness (kwamba uliona kwa macho yako linapotokea hilo) au una sources za kutosha kuweza kujustify hiyo fact. Kwa kuwa wewe ulisikia kutoka kwa third person (Hamad) na si kwamba uliona wala kukusanya taarifa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali, then huna mamlaka ya kujisifia kwamba huwa unaongea fact tu. Sana sana hapo ni umbea tu.
 
- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,

- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!

William.

So this is an assumption and not fact, yah??! "If.... then...." nenda tena shule kaangalie principles za kustate an assumption, fact, hypothesis na opinion. Huwezi kuwaambia watu unaongea fact na wakati huna basis za hiyo fact. Ukweli ni kwamba HR aliupotosha Umma wa watanzania, na Mbowe hakuona sababu ya kujibu kitu ambacho kipo wazi; "full stop". Haya mengine ya umbea na ushabiki wa CCM yawekeni pembeni ongeeni yaliyo dhahiri, na si kuleta opinions na kutuambia hizo ni facts.
 
Walibaki ndani au walitoka nje au hakuingia kabisa .. vyovyote vile inaonyesha jinsi kulivyo na uhuru & ukomavu ndani ya CDM. Hii ni tofauti na CCM ambapo wabunge wake ni kama mawe tu .. kila kitu wanaamuliwa na NEC au Kamati kuu
 
- Mh. Hamad, alisema hivi Wabunge 10 wa Chadema hawakushiriki kwenye kususa na kutoka nje ya nje ya bunge, Mwenyekiti wa Chadema, hakujibu kabisa hii hoja, maana yake ni kwamba ni FACT,

- Sasa kujishugulisha kichwa on my part itakua ni kutafakari kama ninavyofanya hapa sasa, yaani ku-deal na FACT kwamba kwa vile Mh. Mbowe hakujibu kabisa hiyo hoja, basi ni ukweli, now what is wrong with that? ha! ha! ha!

William.

Mkuu, hivi ni kweli shangazi alifanyiwa mambo mabaya na wana-Mtandao akiwa njiani akitokea Dar kwenda Dom?
 
icon1.png
Re: Kumbe kuna wabunge kumi wa chadema hawajatoka Bungeni Rais alipokua akihutubia

Mkuu Cigwiyemisi anaendeleaje? Nasikia atagombea urais 2015
 
Haitoshi kusema unachoongea ni fact kama imetokana na source moja tu ya data. Fact yoyote ni lazima iwe imetokana na personal witness (kwamba uliona kwa macho yako linapotokea hilo) au una sources za kutosha kuweza kujustify hiyo fact. Kwa kuwa wewe ulisikia kutoka kwa third person (Hamad) na si kwamba uliona wala kukusanya taarifa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali, then huna mamlaka ya kujisifia kwamba huwa unaongea fact tu. Sana sana hapo ni umbea tu.

- The FACT ni kwamba yote Mh. Hamad aliyosema ambayo sio kweli Mh. Mbowe alijibu, lakini hili hakujibu hiyo ni FACT sihitaji zaidi in that case of the FACT, as a FACT!

William.
 
Back
Top Bottom