kumbe kuna wababe zaidi yangu

kuna jamaa watatu walikwenda polini kuwinda gafra akatokea simba kila mmoja alipita njia yake mmoja kati yao akapanda mtini baada ya muda simba nae akaja palepale chini ya mti na kuweka pozi. Simba huyu alionekana hana taarifa juu ya kujificha kwa jamaa aliye juu mara usiku ukaingia jamaa akajitahidi hadi asubuhi haku lala Wale wawili wakakutana kijijini hawakumuona mwenzao ikabidi watoe taarifa wanakijiji wakakusanyika kwenda kumsaka simba huyo wakiwa na silaha zote Jamaa ilipofika asubihi usingizi ukampitia mara akamuangukia simba mgongoni simba akajiuliza kuna mbabe zaidi yangu akijifikilia maumivu na mshindo du akaona atoke speed jamaa naye kwa kupanic akakimbia kuelekea simba anako kimbilia wanakijiji nao wanatokea ambako simba anakimbilia Wanakijiji wakaona hii so wakageuza mbio ikawa jamaa mmoja anamkimbiza simba na simba anawakimbiza wanakijiji.

sikuogopa wala nin . . .sema nlkumbuka kua nlkua na appointment' muda huo
 
Back
Top Bottom