Kinyasi
Member
- Nov 22, 2010
- 72
- 31
Katika pita pita zangu mtandaoni, nimekutana na habari hii toka magharibi ya Africa. Habari yenyewe inamhusiha Raisi wa Gambia na ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo mauaji ya waandishi wa habari na baadhi wapinzani wake kisiasa. Katika funua funua zangu nikakutana na hiki cheo cha "kutisha" HIS EXCELLENCY SHEIKH PROFESSOR ALHAJI DR. YAHYA A.J.J. JAMMEH , President of the Republic of The Gambia and Commander-In-Chief of the Armed Forces. Sasa, kuja kumlinganisha na Dr. JK naona kama kapigwa bao la "kisigino". Japo Kiukweli, JK kamzidikwa kuwa na Degree ya chuo kikuu wakati mwenzake kaishia Sekondari tu. Habari zaidi: President of the Republic of The Gambia
http://observer.gm/africa/gambia/article/obama writes-to-president-jammeh,
allAfrica.com: Gambia: President Jammeh's BBC Interview
http://observer.gm/africa/gambia/article/obama writes-to-president-jammeh,
allAfrica.com: Gambia: President Jammeh's BBC Interview