Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,104
- 4,738
How comes mie sielewi kiarabu kabisa kama kiswahili ni kiarabu?
Historia uliyofichwa kusomeshwa na badala yake kujazwa ujinga ni kuwa Waarabu walikuja Afrika.
Ukweli ni kwamba Waarabu Afrika ni kwao na lugha ya Kiarabu ndiyo lugha kuu ya kwanza Afrika licha ya lugha zingine kama Kiswahili kutokana na Kiarabu kwa asili na fasili.
Wabantu Afrika ya Mashariki ni wakuja tu na walipohamia walikuta wenyeji wapo tayari, na hususan walikuta pwani yote ya Afrika Mashariki kuna wastaarabu.
Jee hao wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki wastaarabu ni akina nani? Na walizungumza lugha gani?
Nnauhakika kwa historia ya kujazwa ujinga maswali hayo mawili hautakuwa na majibu na utaanza kutokwa povu.
Usifadhaike kwa huo ukweli wala usighadhibike.
Kama utapenda kujuwa pitia uzi wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ili upate majibu.
Ukitaka kujifurahisha zaidi, unaweza ukajiaminisha pia kuwa dunia nzima wenyeji walikuwa waarab, na watu wengine walikuwa wakuja tu.
Haiyamkiniki, kwa jinsi waarab wanavyopenda kuzaliana kwa wingi, wawe wachache hivi kwenye bara la africa kama kweli wao ndio wenyeji.
Na tatizo linakuja pale kila mwenye "genes" mbili tatu na anafuata uislam basi anajiita mwarabu, hata kama ni mmanyema mwenye pua kubwa kama ngumi.
Nani alikudanganya kuwa Waarabu ni kidogo Afrika?
Waarabu wako wengi Afrika kuliko pengine popote duniani.
Nnajuwa sana kuwa watu kama wewe walioenda shule za kusomea ujinga wanadhani kuwa Waarabu ni weupe tu.
Uarabu si rangi si taifa si nywele. Uarabu ni lugha.
Hata wewe una asilimia kubwa ya Uarabu ikiwa lugha mama kwako ni Kiswahili.
Maswali yangu hujayajibu, kama hukuyaona utakuwa ni wale waliosomea ujinga na kiherehere juu.
Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu ambayo yana maana sawa na maneno ya kishwahili ila mengine yana utofauti kidogo kwenye uhandishi kwa mfano saba=sab'a,bakia=baqiya,shaka= shakka,sababu=sabbaba ,hamsini=khamsuun,sitini=sittuun,mia = mi'a, elfu = alf kwa kutaja machache.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba mnipe uhusiano kati ya lugha hizi mbili kwa kifupi ,historia zao na chochote muhimu kwenye lugha hizi mbili zinazohusiana kwa karibu sana kwa jinsi nilivyoona kwa kutumia elimu yangu ya msingi kwenye hizi lugha.
Ahsante sana,
Article.
Kiswahili ni kikongoKatika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu ambayo yana maana sawa na maneno ya kishwahili ila mengine yana utofauti kidogo kwenye uhandishi kwa mfano saba=sab'a,bakia=baqiya,shaka= shakka,sababu=sabbaba ,hamsini=khamsuun,sitini=sittuun,mia = mi'a, elfu = alf kwa kutaja machache.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba mnipe uhusiano kati ya lugha hizi mbili kwa kifupi ,historia zao na chochote muhimu kwenye lugha hizi mbili zinazohusiana kwa karibu sana kwa jinsi nilivyoona kwa kutumia elimu yangu ya msingi kwenye hizi lugha.
Ahsante sana,
Article.
Punguza jazba atakuelewa tu huyo muungwana wa bara.Historia uliyofichwa kusomeshwa na badala yake kujazwa ujinga ni kuwa Waarabu walikuja Afrika.
Ukweli ni kwamba Waarabu Afrika ni kwao na lugha ya Kiarabu ndiyo lugha kuu ya kwanza Afrika licha ya lugha zingine kama Kiswahili kutokana na Kiarabu kwa asili na fasili.
Wabantu Afrika ya Mashariki ni wakuja tu na walipohamia walikuta wenyeji wapo tayari, na hususan walikuta pwani yote ya Afrika Mashariki kuna wastaarabu.
Jee hao wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki wastaarabu ni akina nani? Na walizungumza lugha gani?
Nnauhakika kwa historia ya kujazwa ujinga maswali hayo mawili hautakuwa na majibu na utaanza kutokwa povu.
Usifadhaike kwa huo ukweli wala usighadhibike.
Kama utapenda kujuwa pitia uzi wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa ili upate majibu.
Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu ambayo yana maana sawa na maneno ya kishwahili ila mengine yana utofauti kidogo kwenye uhandishi kwa mfano saba=sab'a,bakia=baqiya,shaka= shakka,sababu=sabbaba ,hamsini=khamsuun,sitini=sittuun,mia = mi'a, elfu = alf kwa kutaja machache.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba mnipe uhusiano kati ya lugha hizi mbili kwa kifupi ,historia zao na chochote muhimu kwenye lugha hizi mbili zinazohusiana kwa karibu sana kwa jinsi nilivyoona kwa kutumia elimu yangu ya msingi kwenye hizi lugha.
Ahsante sana,
Article.
Si kweli mkuu endelee kuchimba utaona tofauti kubwa iliyopo kati hizi lugha. Tena kiarabu ni kigumu kujifunza kuliko kiswahili au kiingereza.Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu ambayo yana maana sawa na maneno ya kishwahili ila mengine yana utofauti kidogo kwenye uhandishi kwa mfano saba=sab'a,bakia=baqiya,shaka= shakka,sababu=sabbaba ,hamsini=khamsuun,sitini=sittuun,mia = mi'a, elfu = alf kwa kutaja machache.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba mnipe uhusiano kati ya lugha hizi mbili kwa kifupi ,historia zao na chochote muhimu kwenye lugha hizi mbili zinazohusiana kwa karibu sana kwa jinsi nilivyoona kwa kutumia elimu yangu ya msingi kwenye hizi lugha.
Ahsante sana,
Article.
KweliSi kweli
Shule Ulienda kusoma nini kama hujui hata historia ya lugha yako?
Kukopa maneno ni tabia ya kawaida ya lugha yeyote ile ila hiyo haimaanishi kiswahili ni kiarabu. Kwa kuhakikisha hilo sikiliza habari ya kiarabu uone kama utaelewa kama hujui kiarabu au mwambie muarabu asikilize kiswahili uone kama ataelewa, msipende kulazimisha mambo na unasaba na waarabu. Kiswahili ni kibantu
Waliosomea ujinga ni watu kama wewe, unayefikiri kuongea kiarabu au kiswahili ndio uarabu.
Mbona wazenji wanaojiita ni waarabu, hukanwa wakienda middle East? Wewe mwenyewe na uarabu-koko wako ukienda kule wanakukataa kuwa wewe ni mwarabu.
Yaaap upo uhusiano lakini usiludie kusema ni kiarabu kitupu kwani ni asilimia chache tuu ya misamiati ndo huunda lugha inakadiliwa kuwa na asilimia 30 ya maneno yaliyomo kwenye lugha ya kiswahil yanaasili ya kiarabu kwa mfano vitenzi vyote vya lugha ya kiswahil huishia na a kwenye umoja na ni kwenye wingi tofauti na vitenzi vya kiarabu
Shule Ulienda kusoma nini kama hujui hata historia ya lugha yako?
Kukopa maneno ni tabia ya kawaida ya lugha yeyote ile ila hiyo haimaanishi kiswahili ni kiarabu. Kwa kuhakikisha hilo sikiliza habari ya kiarabu uone kama utaelewa kama hujui kiarabu au mwambie muarabu asikilize kiswahili uone kama ataelewa, msipende kulazimisha mambo na unasaba na waarabu. Kiswahili ni kibantu
Ni kweliSi kweli
unajua Mofimu weye!..Si kweli
Pata historia ya Dola ya "Zenj Empire" kwa ufupi:
youtube N3EAirHqDbU
Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa