Nilikuwa nimeipuuza sana clouds na kibonde wake. leo nikiwa foleni namsikia kibonde anamwaga point kuhusu kufa mashirika ya umma hasa atc na bima. Wale wanaopenda kutetea magamba, hivi inakuwaje mtu binafsi anaendesha precision kwa ufanisi mkubwa atc wanashindwa? kwanini shirika kubwa kama bima linakufa wakati lilikuwa na ukiritimba. rushwa jamani magamba mmeua nchi tumechoka