kumbe huyu ndo alikamatwa na mkataba wa richmond akaomba msamaha kwa mzee wa feri

kevin nathan

Member
Apr 20, 2012
20
4
utafiti unaonesha kuwa CCM mwaka sifa yake inaongezeka kwa asilimia kadhaa kila uchaguzi,
mwaka 1995 mkapa alipata 57 na 63 mwaka 2000, average ni 60. hiyo ni awam ya tatu, awamu ya nne kikwete 2005 80.28 then 2010 ,61 average ni 70.4%
then mwaka 2015 ccm atapata 65 na 2020 63 average 64, hiyo ni kwa ccm


kwa chadema mambo yako kama ifuatavyo mwaka 1995, 2% na 2000 3% average 2.5% then mwaka wa mbowe 2005 5% slaa 2010 22% average ni 13.5%

then 2015 slaa atapata 12% maana popularity yake yaan mtaji wake wa maneno ashaumaliza, na 2020 cdm 6%
 
Kevin, uko baa? Mbona heading na maudhui haviendani?
Tunaambiwa idadi ya shule za sekondari imeongezeka na wanafunzi wanaojiunga na sekondari pia wameongezeka.
Sasa products ya hizo shule ndio hizi!
 
Join Date : 20th April 2012
Posts : 12
Rep Power : 305
Likes Received 1
Likes Given 1

Teh teh teh! Hivi mod mnaonaje mkianzisha hata kozi fupi online kwa watu kama huyu ili kabla hajaanza kuropoka awe japo na kaknowledge hata ka kufikiria kupitia masaburi juu ya namna ya kuandika hoja na kuleta mambo yenye mashiko na tija kwa Great Thinkers?
 
Kevin, uko baa? Mbona heading na maudhui haviendani?
Tunaambiwa idadi ya shule za sekondari imeongezeka na wanafunzi wanaojiunga na sekondari pia wameongezeka.
Sasa products ya hizo shule ndio hizi!

Hata mimi nashangaa mkuu.
 
Back
Top Bottom