Kumbe huyu jamaa alikula kiapo na GWANDA......................!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395
museveniinauguration1.jpg

Gen. Museveni taking the presidential oath at Uganda's Parliament on 26th January 1986 after successfully commanding the National Resistance Army (NRA) in a rebellion against President Milton Obote .
 
Mkuu Mtambuzi huyu Jamaa anapenda sana mambo ya Jeshi .. yeye anaona bado yupo Jeshini na Gwanda kwake bado anazo!

Hii hapa ni juzi juzi tu mwaka huu mwezi wa Machi alikuwa sehemu moja inaitwa Mbale ... hapo kabeba bunduki kabisa eti yupo kwenye mapambano ya kumsaka Kony!

museveni-in-mbale.jpg
 
Jasiri haachi asili.................
 
Ndo hao hao, wanaona kuongoza nchi ni haki yao. Juzikati tu hapa, kawaambia majenerali kuwa itakuwa fresh kama mkewe atakuwa rais. Jamaa ikabidi wacheke tu.
 
Huyu jamaa poa sana, Mzee wa Do you Need Another Rap.......Yes Savo!!
 
Back
Top Bottom